*Wale watu wa magroup whatsapp wametuletea kitu kingine kimpya yaani MUTE group for YEAR kama tulivyozoea hizi za WEEK basi utakuwa huna haja tena kurudia kuweka Mute kila baada ya wiki.. Check screenshot
*Kama hujaiona uninstall WhatsApp uliyonayo na install tena from play store.