New Evidence: The Real Reason Gaddafi Was Killed

New Evidence: The Real Reason Gaddafi Was Killed

Acheni mzaha! Ajenda za Gaddafi ni zile zile za OIC. Mugabe katupa picha juzi.
Mugabe si alikuwa anafoka UN ,alitoa speech Kali kuhusu kifo cha Muammar

Mugabe pia sini alirevive ishu hiyo kwenye mkutano wa AU lakini likatupiliwa mbali juzi tu hapo

Na yeye Mugabe alikuwa ana ajenda gani eti

[HASHTAG]#Tusiwe[/HASHTAG] wasahaulifu jamani
 
Mission of Father of the nation Mwalimu Nyerere was to see United States of Africa with a single leader and single currency.
impossible...what about our african tribes...I think the idea could have halted before even hiting kikuyu or crossing river lipompo....shame on us
 
Back
Top Bottom