Kwa jinsi rushwa ilivyo hapa bongo bado Tz tunawaongoza Kenya na Uganda. Basi huko Kenya, Uganda na Burundi hadi watu watakuwa wanauzwa. Nikipata muda nitaipitia ripoti yote ili nijue criteria zilizotumika. Kazi tunayo. Ccm watakuja hapa najidai wakisema si mnaona Jk anafanya mambo. Kazi ipo
Haha, hali ya wenzetu nadhani itakuwa ni ya hatari kama hapa mambo yalivyo bado kunaonekana kuna unafuu. Anyway two wrongs doesn't make it right, kwahiyo hakuna la kujisifu kwa ccm kama rwanda wameweza kutuchana kwa mbali.