nunueni computerWengine tunaotumia cm hata hatuoni hayo mabadiliko.
Premium category member ya sasa imesaidia sana kunikumbusha wajibu wangu wa kwenda kulipia dirisha la mgao wa huduma ya JF, nawapongeza sana moderators kwa kazi kubwa ya mabadiliko mliyofanya. Wewe je umekwishalipia?
Tuma kwa Tigo pesa au M pesa #+255 755 642 929 AirTel money +255 784 526 444 Kisha utatuma report text message ya huduma uliyotumia kwa kutaja JF ID yako. Karibu tujenge JF.