New! Car Park & Wash (Kigamboni,Ferry)

New! Car Park & Wash (Kigamboni,Ferry)

Walad Amin

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2013
Posts
287
Reaction score
87
Habari njema kwa madereva/wakazi wa Kigamboni,
Karibuni sana katika egesho jipya la magari liliopo ferry karibu sana na Lutheran Church,mwendo wa dakika 5 hadi kivukoni kwa wale wanao epuka foleni ya kivuko na kujali muda wao.
Malipo kwa siku 2000/= masaa12
Malipo kwa mwezi 50000/= masaa12
Malipo kwa mwezi 100000/=masa24
kukosha gari ni BURE!! (Hand wash)
Piga namba 0659 366 350 kujuzwa njia rahisi ya kufika
ImageUploadedByJamiiForums1411165556.873763.jpg
Kwenye hiyo pin ndo parking lot location
Tuungane mkono madereva wenzangu
 
Malipo kwa siku masaa 24 ni Tshs ngapi??
 
Bei ni kubwa sana mkuu,kuweka gari masaa 12 ni 2000? Nyie ndio mnafanya maisha ya bongo kuwa magumu hata kama ni biashara huria,jali hali halisi ya maisha! Kulaza gari kuanzia mda wowote huku kwetu na sehemu nyingine ni 1000 tu! Haya kwa mwezi tunafanya kazi siku 22 * 2000 = 44000 wewe umeweka 50,000/= nlijarajia kwa mahesabu hayo ukijisubscribe kwa mwezi price inabidi ishuke kama offer ila we ndio imezidi,nakushauri mtafute mtaalamu wa uchumi/biashara akupangie bei kwa bei hizo bora nipaki sheli.(Gas station)
 
Kuna parking ingine jirani kabisa na GAPCO petrol station, bei zake ni nzuri TZS 1000 kwa siku.
 
Bei ni kubwa sana mkuu,kuweka gari masaa 12 ni 2000? Nyie ndio mnafanya maisha ya bongo kuwa magumu hata kama ni biashara huria,jali hali halisi ya maisha! Kulaza gari kuanzia mda wowote huku kwetu na sehemu nyingine ni 1000 tu! Haya kwa mwezi tunafanya kazi siku 22 * 2000 = 44000 wewe umeweka 50,000/= nlijarajia kwa mahesabu hayo ukijisubscribe kwa mwezi price inabidi ishuke kama offer ila we ndio imezidi,nakushauri mtafute mtaalamu wa uchumi/biashara akupangie bei kwa bei hizo bora nipaki sheli.(Gas station)

Mkuu biashara yoyote ikisajiliwa TRA usitegemee mteremko,biashara huru unapaki unapojiskia usalama wa usafiri wako upo ila kwa gas station EWURA hawaruhusu mkuu
 
Na hii yako ndio parking ya ghali kuliko zote kigamboni mkuu,ngoja nikupe competitive advantage
1.kanisa la kwanza kabisa -ni sh.2000 lakini advantage yake ni kuwa ni 24hrs unaweza chukua gari ukaenda ukarudisha hela ni ile ile,kwa hiyo ni tofauti na la lutherunambapo

2.kanisa la lutherun-ni 1500 mradi lisilale mpaka asubuhi unalichukua kwa bei hiyo hiyo hata kama ni saa 6 ila lkilala ni double price

3. parkinG ya karibu na Gapco ni SH 1000 HAINA SECURITY NZURI ILA NI SALAMA MPAKA SAA 4USIKU

SASA JIPAMBANUE NJOO NA COMPETITIVE ADVANTAGE YAKO MIMI NIMEHAMIA KULE KWA BUKU SASA HIVI HIVI TUTAFIKA NIKAJUA KWAKO NAFUU KIDOGO KUMBE UMEKUJA KIBIASHARA ZAIDI KUMBUKA PARKING YA KANISA LA LUTH HAIJAI NANISECURE MNO SO SHUSHA BEI KUITA WATEJA KWAKUANZIA .
NI USHAURI TU
 
Ushauri wako ni mzuri ntaufanyia kazi ila kwa sasa njo sop sop bure
 
kumbuka jamaa anakuoshea bure!!!
 
Aisee kumbe na hii nayo ni biashara ya maana mjini?
Kumbe inalipa namna hii.
Hadi nyumba za Ibada wanakula pesa.
Ngoja nitafute eneo la ku park gari kama 1000 hivi nile mpunga.
 
Its a big bizne$$ try inalipa! Cha umuhimu space tu ya kuweza kupark gari hata 50 hiv.
 
Mkuu biashara yoyote ikisajiliwa TRA usitegemee mteremko,biashara huru unapaki unapojiskia usalama wa usafiri wako upo ila kwa gas station EWURA hawaruhusu mkuu

Kama TRA inclusive + kuosha basi reasonable.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom