Nafaka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 12,155
- 31,056
Kuna dogo walikuwa wanamhoji XXL ana miaka 25 kaja na solution ambayo watanzania wengi walikuwa wakihihitaji. Nayo ni kununua umememoja kwa moja ukainia kwenye luku.
Lakini kahangaika na TANESCO kapigwa dandana mpaka alipoenda VETA na mwisho kaja XXL nina imani sasa watalifanyia kazi.
Idea yake ashaiimpliment na kawanunulia XXL pale luku ikaingia na anakwambia haijalishi kokote atakapokuwa ilimradi umenunua luku inaingia.
Hii inaonyesha kuna vipaji vingi Tanzania vinakatishwa tamaa na wazee hawa ambao wana roho za korosho.