Rogojin The Idiot
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 2,704
- 3,036
Lisu anatumiwa na Mabeberu
Lissu buana....amegeuka kama kinyonga kwenye issue ya madini
Lisu anatumiwa na Mabeberu
hahahahahahahahah hapana bana..............mbona kama ingekuwa habari mbaya kwa Tanzania wachangiaji wangekuja wengi tuu??Ina maana wengi wetu ni wamakonde humu? Lugha imekuja na mashua inatuchezesha mchaka mchaka
why not?Hivi Tanzania inauwezo wa kuwafanya wazungu wapumulie mashine.
Mkuu, tangu nikiwa pale mlimani, ukitaka mkutano uishe kwa muda mfupi, uendeshe kwa kiingereza. Hata hasira zinapotea! Mara nyingi wachache wanaokiweza, huwa busara yao iko juu. Nani azoze kwa English?Ina maana wengi wetu ni wamakonde humu? Lugha imekuja na mashua inatuchezesha mchaka mchaka
Wanajifanya hawaoni, ha ha ha.Uzi kama huu hauchangiwi na salary slip pamoja na wale wengine wa mtaa wa ufipa.
Hivi Tanzania inauwezo wa kuwafanya wazungu wapumulie mashine.
Chuma kinakwambia Hapa kazi tuuu
hahahahahahahaha labda wanauogopa huu uzi au wanajipanga kuja kupotoshaNimepitapita huko nyuzini kwingine naona kunachangamkiwa kweli ! Daa ! Uzi huu kweli umesuswa ! Jamani njooni na huku maoni yetu sote ni muhimu kwa afya ya dialogue!
Tumezoea umbeya tuNimepitapita huko nyuzini kwingine naona kunachangamkiwa kweli ! Daa ! Uzi huu kweli umesuswa ! Jamani njooni na huku maoni yetu sote ni muhimu kwa afya ya dialogue!
Salary Slip unaitwa huku?Uzi kama huu hauchangiwi na salary slip pamoja na wale wengine wa mtaa wa ufipa.
Ni shida sana unapokuwa na wanasisa aina ya kina zitto na yule mzee RungweTatizo unafiki na uzadiki umetujaa watanzania kwenye hili Saga kuna watanzania wanaopenda tufanikiwe na kuna watanzania wanaotaka tufeli
Hawezi kuja hapaSalary Slip unaitwa huku?
Kwanini tatizo kwenye lugha auUzi sampuli hii haupati wanchangiaji wengi !
Hii habari ni ya kweli mkuu? Kama ina ukweli tupo kwenye right way
Hii ni kawaida kwa humu Jf..Ila ukweli usemwe panapostahili.Hili jambo wa Tz tumekuwa on the defensive side mnooo.Kuna muda nawaza kuwa hivi sisi ni wenye madini au Acacia ?? Naona wana enjoy tu kila wiki wanapost updates na wanaendelea na maisha kama vile hakuna lililotokea.Uzi sampuli hii haupati wanchangiaji wengi !