Dumbuya
JF-Expert Member
- Jan 23, 2014
- 593
- 870
Rasilimali zetu zinapaswa zituonganishe kuwa wamoja katika Taifa kwani ni urithi wetu sote...Ni kheri kukaa kwa pamoja na kuamua njia sahihi ya kupitia kuliko kutengana kwani hata maadui hutumia mtawanyiko huu huu kupenyeza interest zao.Tatizo unafiki na uzadiki umetujaa watanzania kwenye hili Saga kuna watanzania wanaopenda tufanikiwe na kuna watanzania wanaotaka tufeli