Neves say Never


nimeishia kati ngoja nikanywe kwanza maji
 
Kupenda huku yani namuwaza yeye tu lol
 

mh! Pole na hongera! Inaonyesha ujuwi kuwa shetani ni malaika wa nuru na giza! Zidisha sala utajuwa ukweli.
 
Kuna mahusiano mapya nimeanza karibuni, you sound as the one. If so, there are two involved! Its either you are a good girl ndio maana unaombea heri hilo penzi, or you are unluck person maana all i want is just a nyumba ndogo. Pole sana if the last is the case. Lol...
 

what do u think?which am i of the two cases?
 
maneno yako mazito kweli babu.Namshukuru Mungu kwa uponyaji juu yako.Ni kweli njia zake ni za kweli lakini mafumbo kwetu!

Kaizer Likes this.

Kila la heri kwenye penzi jipya. Ila uwe na Plan B.
 
plan B ya nini tena?

The thing is, mapenzi kwa jinsi ulivyoyaexperience, yana a lot of uncertainties....sasa kukabliana nazo, ili usijeukafika mahali ukasema "never again" unakuwa na Plan B. umenipata?
 
The thing is, mapenzi kwa jinsi ulivyoyaexperience, yana a lot of uncertainties....sasa kukabliana nazo, ili usijeukafika mahali ukasema "never again" unakuwa na Plan B. umenipata?

your point is well noted k
 

Kabakabana mbona mapema? Umemaliza healing process kweli au ndo bado uko katika denial stage?!
 
Wifi yangu KabaKabana, pole kwa mistreatment ya kaka yangu. Naomba radhi kwa niaba yake. Nakutakia kila la kheri, nakushauri take your time kuanguka penzini. Don't rush, jitahidi usimuwaze yeye tu (inaitwa obsession, ni kama ugonjwa sugu), waza na mengine. Mungu akutangulie kwa yote.
 

Mambo King? Apo juu si umeona nimempa Plan B? Ndio vile...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…