never under estimate...the power of women.......

never under estimate...the power of women.......

imaney

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2012
Posts
1,014
Reaction score
314
............mwanamke (hawa) alimshauri/alimfanya adam avunje agano na mungu kwa kula tunda la mti wa kati.......................

.............delila wa kny bible alimshuri samson anyoe nywele zake na nguvu zake kuisha hapo hapo...................

............wakaka mnatupa mbegu zenu tunawaletea watoto wazuuuri,jaribu kutupia mchangani kama atatoka hata mwansesere lol..........:dance::dance::mimba::mimba:
 
who runs the world,??!GIRLS...
Men are powerful creatures in everything,but not the seduction of a woman.....#am proud to be a woman
 
Mnajua lakini nini chanzo cha hicho mkiitacho nguvu ya mwanamke kupitia mifano hiyo?

Laiti mngelikijua wala msingelijisifia bali mngezionea huruma nafsi zenu...
 
who runs the world,??!GIRLS...
Men are powerful creatures in everything,but not the seduction of a woman.....#am proud to be a woman
marilyn_diamonds.jpg
 
Mnajua lakini nini chanzo cha hicho mkiitacho nguvu ya mwanamke kupitia mifano hiyo?

Laiti mngelikijua wala msingelijisifia bali mngezionea huruma nafsi zenu...

eh mkuu em tupe busara zako...
 
Back
Top Bottom