Never share your feeling with woman, never

Danganyaneni tu. Lakini watu wanaopendana huwa wazi kwa wenza wao. Hata uwe na miguvu kama mcheza mieleka ukirudi kwa umpendaye unakua calm. Mkeo/mumeo ndio mtu pekee anayeweza kujua madhaifu yako
 
 
Kuna ukweli flani hivi but uzuri siku hizi kuna gesi, mkaa, koleo etc.....ukishindwa softly muache aende
 
n NOTED MWAMBA
 
kuna kitu wanabodi mtakubaliana na mimi kuwa wanawake walio wengi ni washirikina,walozi,na waabudu miungu kama kuchukua mafuta na maji ya upako,vitu hivi ndo vinavyowafanya wawe na ujasiri na kujiamini kwamba wana uwezo wa kuwageuza wanaume watakavyo.Waulize waganga wa kienyeji idadi ya wanaokwenda kwa siku kwao ni ipi?Mungu atusaidie wanaume tuna wakati mgumu sana tena sana.Vifo vya mapema ni vyetu,jera ni zetu,mahakamani na polisi ndo usiseme,kulishwa vitu vya ajabu ndo usiseme.
 
kuna uzi mmoja ulikuwa unahusu mambo haya nkiuona ntakutag jombaa
 
Mwanzoni nilikuwaga hivyo,but now i dont care...
Akileta ujinga siku hizi za Uchebe zinamuhusu
Mleta mada hajamaanisha mambo ya kupiga wanawake. By the way being a strong man doesn't mean beating your wife; It means ability to handle and control your emotions, ability to withstand and absorb shocks. Hata huko kumpiga mkeo kunaonesha how weak and insecure you are. Become a strong man bro, usiwe dhaifu. Mwanaume strong ni mwanaume wa kati na kati, is a family man, he is a provider and chief comforter of his family during turbulence
 
Msikilize mkeo lkn kuwa na Msimamo, kuamini hisia na maamuzi yako baada ya kutafakari hoja kinzani zinazotoka kwake. Pia usidharau ushauri au maoni ya mke, siku zote tafakari uangalie faida na hasara kisha chukua njia yenye faida bila kujali ni pendekezo lake au lako. Mwanaume imara ni yule anayetumia ubongo wake vizuri na sio hisia na asiye legelege kwenye maamuzi yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…