Never say I love you...

Ha Ha Ha Lisa
Iko hivi Mwanaume hulia kifuani Mwanamke hulia machoni..
Hilo la kutendwa kama mnalipiza kisasi wafuateni wahusika.
UPENDO WA MWANAMKE UKO machoni NITAKUJUA nitakueleza..ila dont tell me lies I better be alone
=
Tetraaaaaaaaaaaaaaa!! Utajuaje kama nimekuja kwako kwa ajili ya kulipiza kisasi? maana nasi twajua ku pretend as if hakuna kitu nilikotoka. So inategemea na jinsi utakavyom treat huyo mwanamke, ukikaa naye vizuri kwa kumheshimu na kumpenda basi ujue naye atakupenda na yale machungu aliyonayo hatokulipizia wewe, mbaya ni pale utakapotaka kumnyanyasa, ndipo anakulipizia na yela aliyotoka nayo huko.
 
Yaani leo my sis umemwaga mapwenti balaa naona hata like nilokupa haikutoshi!!!Yaani watu hawapo real to be honest...Kwangu mimi mtu kunipuuza na kunidharau its so much rude than kuniambia hey... siwezi kukutekelezea utakalo!Yaani mambo yapo so simple lakini watu wanacomplicate so much....Sijui ndo huruma za uongo!
 

inasumbua sana watu kutokuwa wawazi, inapoteza muda mali na opportunity kwa unafiki wa kijinga. Asante mwaya kwa reputatition comment and points.
 

Maneno mazuri hayo,tujitahidi kua wakwel maneno yetu yaendane na matendo.
 
Thnx, imekaa pouwa na ukweli mtupu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…