Never say I love you...

Excellent,,hivi inakuaje mtu anashindwa sema kweli ya kumoyo wake?
"Naogopa nikikwambia ukweli utanikimbia"Hayo ndiyo maneno yenu wanaume Tetra.
 
Yes, that's hurts a lot. I wish people hasa wale wanaosema kila siku kuwa 'sitaki kukuumiza' na kupunguza mawasiliano wangejua how much njia yao inaumiza kuliko hiyo ya maumivu makali ya mara moja.
::
Kaunga
Huo mfano wa 2
Ndio unaumiza,,kama unathamini hisia za mtu ya nini kujibaraguza,,unamuweka Last alternative kama relationships ulizomo zitakwama.
Anyway nimekupata Kaunga
=
 
Last edited by a moderator:
"Naogopa nikikwambia ukweli utanikimbia"Hayo ndiyo maneno yenu wanaume Tetra.

::
Lisa
Niambie ukweli.
Ukweli utaniuma.
Nitachanganyikiwa.
But nita-recover.
Nitasimama imara kuliko uendelee kuchezea hisia zangu Kumbe umeniweka kwenye blacklist.
=
 
Last edited by a moderator:

Kuna mjerumani mmoja hv alikuwa anareside maeneo ya buguruni miaka ya nyuma sana.....sasa siku anamaliza kilichomleta hapa bongo tayari kwenda kwao berlin jamaa mmoja wa karibu yake akamuuliza "sir, what will you remember about tanzanians.......yule mjerumani akajibu; i will remember tanzanians for many things but mostly for saying what they dont mean.......akatoa mfano kuwa when a tanzanian say yes or no he/she is not sure if he/she said yes or no!!!!
 

Duuuuu.............umetuchanaje!!!!
 

So so true. Me like this.
 
nice one, inategemea moyo unasema nini ndani yako, ukiki-disclose mapema inaweza kula kwako
 
Good; badilisha kauli "mwambie ukweli" sio kumkatisha tamaa.

Unaujua ukweli? Unajua madhara ya ukweli? Mara nyingine ni bora kumwambia ugonjwa huu utapona kumbe unajua ana dakika mbili. (Matabibu watakuambia kuhusu hapa).

Let me share this, wakati nipo chuo girlfriend wangu alini cheat. Nikamuacha, akachanganyikiwa. Mitihani ilikaribia ikanibidi nimwambie uongo kuwa nimesamehe ili asome na nikafanikiwa. Siyo mara zote mkuu, inategemea.
 

Never say I love you
If you really dont mean it
I do, but love wears away..sometimes

::
Never talk about feelings
If they aren't there
You are sexy and I 'need' u..wat do I do?!

::
Never hold my hand
If you plan to break my heart
It never was the plan..wish u ever stayed wit me

::
Never look into my eyes
If all you do is lie
I wish you nagged me less..I'd love you more

::
Never say hi
If you really mean goodbye
Wish you stayed as lovely as on our first date...forever, would I stay.
 
Nakubaliana na wewe Tetra, kwa lugha rahisi ni vyema kuwa wakweli kwenye mahusiano na maisha yetu ya kila siku!

Mapenzi bila kuongopeana wakati mwengine huwa magumu kuya mantain always girls like to be cheated some time if u talking trueth to them they not concetrating with u
 
Last edited by a moderator:
Kama wanaJF tafsiri wanazotoa zinamaanisha unlichokisema pale juu, MAWAZO MAZURI SANA, ingawa watu wameingiza maada ya kiuchumi umo umo tena kama sijui KUKOPA LIPA!!! Sijui nalo lipo pale kwenye ujumbe wako? Kiingereza kigumu kwa sisi watu wengine wa KAYUMBA
 

MESTOD
Ndo maana hutakiwi kujaribu kina cha maji kwa miguu yote miwili
=
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…