Never say I love you...

Tetra

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
1,526
Reaction score
771
::
Never say I love you
If you really dont mean it
::
Never talk about feelings
If they aren't there
::
Never hold my hand
If you plan to break my heart
::
Never look into my eyes
If all you do is a lie
::
Never say hi
If you really mean goodbye
::
JUST TELL ME,, YOUR HIDDEN TRUTH AS IT IS
I WILL LEARN TO CHERISH MY PRECIOUS TIME IN THE WORLD
=
 
Ingekuwa kwa kiswahili ingekuwa pouwa sana!!
 

Nakubaliana na wewe Tetra, kwa lugha rahisi ni vyema kuwa wakweli kwenye mahusiano na maisha yetu ya kila siku!
 
Last edited by a moderator:
Nimeipenda sana Tetra ,thank you!
 
Last edited by a moderator:

Kwa lugha rahisi tuseme "ukifanya kitu fanya kwakumaanisha na siyo kujaribisha".
 
Yeah you got a point here Tetra hata kuna mseo usemao ni bora kofi la upendo kuliko busu la unafiki.
 
Last edited by a moderator:
Yeah you got a point here Tetra hata kuna mseo usemao ni bora kofi la upendo kuliko busu la unafiki.

Haa! Haa!
Umenikumbusha ule usemi eti kofi la mpenzi haliumizi
Thubutuuu Labda halijaingia sawa sawa!
 
Last edited by a moderator:
Excellent,,hivi inakuaje mtu anashindwa sema kweli ya kumoyo wake?

Typical Tanzanians. Tunasema ili kumridhisha mtu bila kumaanisha, and worse more; jamii inatutegemea tuseme hivyo. Baadhi wana laumu Ujamaa kwa hili!
MFN 1: jamaa yako anataka kukukopa pesa, na wewe unajua si mlipaji kbs; so badala ya kumkatalia live utamzungusha.
MFN 2: mpenzio kakuboa na unataka kumuacha coz you are sure is not gonna work btn you too; badala ya kumwambia it's over, utamchunia na kumkatia mawasiliano.
MFN 3: umekutana na mtu, kakusalimia "hujambo?"; badala ya kumwambia naumwa utamjibu 'sijambo' ilhali unagugumia maumivu.

Any way, tu waongo waongo n stupidly 'nice'.
 

Nakubaliana na wewe mkuu. Lakini upande wa pili ndo huwa unalazimisha iwe hivyo.
Mfano jamaa yangu ataka kukopa. Nikimwambia sina tutakesha. Atataka kukopa tu. Ukimwambia ngoja niangalie kwanza anakubali.
Hata katika mapenzi wengi tunapenda tufe kifo cha pole pole sana. Unajua mtu anajiweka tayari kwa lolote. Vinginevyo mpenzi wako awe kapewa dead line huko aendako kuwa muache leo ndo uje kwangu.

Ila mapenzi pasua kichwa sana.
 
Haa! Haa!
Umenikumbusha ule usemi eti kofi la mpenzi haliumizi
Thubutuuu Labda halijaingia sawa sawa!
Haaaaahaaahaaaa we Tetra wewe em acha hizo banah kweli kofi la mpenzi haliumi banah,kwani we huoni wakurya wasipopigwa wanaona hawapendwi?
 
Last edited by a moderator:

::
Kaunga
Huo mfano wa 2
Ndio unaumiza,,kama unathamini hisia za mtu ya nini kujibaraguza,,unamuweka Last alternative kama relationships ulizomo zitakwama.
Anyway nimekupata Kaunga
=
 
Last edited by a moderator:

Hilo la kwanza hilo mmmmm
 
We have to be assertive. Nakumbuka huo mfano wa kukopa ulitumiwa na prof mmoja wa kiIrish na l played like a friend niliyetaka kukopa.
You have to look a person in the eyes and say NO ambayo unaimaanisha.
It begins with YoU, Change ni WEWE.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…