Gorgeousmimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2010
- 9,296
- 7,688
- Thread starter
-
- #21
Ok kwahio mtu akiwa 30 falling in love inakuwa haipewi kipaumbele tena….Unaweza kusema atatafuta mtu alokwa wifematerial kisha ndio afall in love…and what if atapata mtu mwenye vigezo vyote anavyohitaji lakini hamfeel kama anampenda…yaani ile kummiss mtu kumhitaji kujihisi upo katika bwawa la mapendhii….Na mtu akiwa na miaka 30..kama anataka kuanzisha mahusiano tena..anaangalia factor nyinyi sana..tofauti na mtu akiwa 20s mara nyingi factor kubwa inakuwa na utamu na mengine yana fuata..ila in 30s mengine kwanza then utamu ndo unafuata
And what about your husband,lover or wife?will you be in love with them or just love them?
hio inategemea mtu na mtu and how serious they take love kuna wengine wakijeruhiwa mara moja hilo pigo lake hawathubutu kupenda tena.Na kuna wengine hawaoni shida kumaliza uhusiano huu na kurukia mwengine ...nadhani kuna tofauti kati ya upendo niliowaonyesha ndugu zangu wakati wa utoto na upendo ambao natakiwa nimuonyeshe gorgeousmimi wakati wa utu uzima. Ni vitu viwili tofauti.
..kuna possibility mtu mzima kabisa asiwahi kupenda kabisa. By he way, how often do people fall in love??
Atakuwa na sababu nyingine. Je ni mshika dini sana au alikuwa mshika dini sana kipindi cha nyuma?What if mtu huyo hajawahi kuumizwa lkn anasema alishapenda wasichana kabla ila sio kufall nao yaani mahabati niue .
Atakuwa na sababu nyingine. Je ni mshika dini sana au alikuwa mshika dini sana kipindi cha nyuma?
Je principle zake za maisha zipoje? (misimamo) Maana kuna watu wanaishi kwa malengo mfano,
Mtu anapanga nitaoa at 30 kwa hiyo kabla ya hapo haangaiki na mabinti wa watu watakuwa watu ambao atacheka
nao tu basi.
Au imani na misimamo ya kidini inamfanya aogope kuwa na mahusiano maana uhusiano waweza kuwa mzizi wa yeye
kuingia dhambini hivyo anawaepuka mabinti/wanawake.
Don't you love yourself?I love you....
I love my dog......I love my job......I love my husband......I love GOD......I love my shoes.....I love to eat bananas...... I'm telling you...
Hilo laweza kuwa ni jibu.Ndio ni mshika dini!
Is it possible just to fall in love automatically or you have to work your way upwards through several steps like having a crush,liking,falling in love and being in love .
Am in love with the Ivoriennes!
Bingooo…there you go….^^
Real love grows slowly, dont invest too much energy finding love, it will cost your emotios!
Once you have it, then you can add efforts, remember Love is a plant..it needs to grow or else it dies!
^^
I am in love with your lips ...lol