Mapambano Yetu
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 1,133
- 2,128
This time hatudanganyiki, wamemtia ulemavu Mbaba wa watu kwaajili ya sifa na matumbo yao!
Acha kutafuta cheap popularity kwenye mambo ya msingi..nyama we we!Kuna ' Njemba ' moja nimeiona leo ' inachungulia ' risasi alizokula ' Mwanamedani ' katika Hospitali Kuu ya ' Wanamedani ' iliyo katikati ya Kawe na Mwenge.
In US, dawg eat dawgNajuta kuzaliwa binadamu nchini Tanzania. Bora ningezaliwa mbwa Marekani.
Nimehuzunishwa sana na taarifa za leo,Lissu hatakuwa kama wa zamani.This time hatudanganyiki, wamemtia ulemavu Mbaba wa watu kwaajili ya sifa na matumbo yao!
mtihani mkubwa kisa siasa time yeyote unaweza kusema hakuma mungu!Najuta kuzaliwa binadamu nchini Tanzania. Bora ningezaliwa mbwa Marekani.
Inasikitisha na kutia simanzi sana, ila Mungu hua haendi Likizo, na kila kiumbe kilichopo duniani ni kwa mapenzi yake hivyo anajua nini cha kufanya, nimemkumbuka sana yule dereva aliyepigwa risasi na marehemu Ditopile!Nimehuzunishwa sana na taarifa za leo,Lissu hatakuwa kama wa zamani.
Walompiga risas wanajiskiaje,wakimuona anachechemea watajihisi vipi?
Kisa masuala ya kidunia?
View attachment 587110
May Allah bless Me and You
Sana,mzee alikufa kwa mawazo tu,japo alipata nafas ya kukaa nje ya selo ila hakuwa na amani tena.Inasikitisha na kutia simanzi sana, ila Mungu hua haendi Likizo, na kila kiumbe kilichopo duniani ni kwa mapenzi yake hivyo anajua nini cha kufanya, nimemkumbuka sana yule dereva aliyepigwa risasi na marehemu Ditopile!
Hujachelea nenda ukafie Marekani.. Tutakuita mbwaNajuta kuzaliwa binadamu nchini Tanzania. Bora ningezaliwa mbwa Marekani.
Halafu siyo wabunifu kabisa. Hata watoto wamegunduz ile danganya Toto. Sijaona hata rangi ya damu kwa yule mzee. Risasi ya kiuno mchezo?
Sent using Jamii Forums mobile app