Network Printer Installation

Donnie Charlie

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2009
Posts
19,040
Reaction score
22,587
Habari,
Nina printer ipo installed kwa pc ya Windows 7 via USB cable na imekuwa shared. Hii machine ni 32Bit sasa issue iko hivi kuna machine nyingine ina 64Bit ya Windows 7 na inagoma kwenye driver installation. Kuna mwenye ufahamu wa hili maana hata huko duniani sijapata msaada.
 
Hapo ni lazima utafute driver setup za hiyo printer ya 64bit mkuu..install then ndo itakubali kwenye network
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…