flagship ni simu nzuri zaidi ya kampuni ya simu ambayo wameeka technology zao zote za kisasa, mfano simu kama galaxy s8 ni flagship ya samsung, au iphone 7 ni flagship ya Apple.
mid range ni simu ya kati, specification zake sio kubwa wala sio ndogo, mfano unakuta simu za flagship zina ram 4GB hadi 8GB na low end zinakuwa na ram 1GB hadi 2GB basi midrange nazo utaona zina ram 2GB hadi 4GB. zenyewe zinakuwa simu za kati.