Si Kweli Ni Kwamba TTCL hawana 2G ndiyo maana Unaona Hivyo so Mpaka Uweke Kwenye 3G au 4G ndo Itasoma Jamaa hawana 2G kwa sasa.Ukiweka kwenye simu ya inayotumika line mbili who hadi SIM 1 ttcl vinginevyo hupati internet dah bado kidogo uzalendo utanishinda
Sijasema ttcl wana 2g ila tatizo wanarecomend huweke chip yao kwenye slot ya SIM 1 mi simu yangu wananitesa uzalendo utanizhinda soonSi Kweli Ni Kwamba TTCL hawana 2G ndiyo maana Unaona Hivyo so Mpaka Uweke Kwenye 3G au 4G ndo Itasoma Jamaa hawana 2G kwa sasa.
Inategemeana na Simu Mimi inasoma Line niliweka Popote ila Nikijaribu Kutumia Data ya Mitandao mwingine ndo Inazingua kwa Sababu Simu Ziko Designed siyo Kutumia 3G au 4G mda wote so Line nyingine lazima Isome 2G ili Nyingine isome 3G au 4G
tatizo si la ttcl ni la simu, simu ndio hazikubali kutumia line zote mbili 3gSijasema ttcl wana 2g ila tatizo wanarecomend huweke chip yao kwenye slot ya SIM 1 mi simu yangu wananitesa uzalendo utanizhinda soon
Unaposwitch unabadili na 3g iwe kwenye SIM 2 . Na ukiweka halotel inafanya vizuri. Na 3g inakua poa. Ukiswitch SIM 1 nayo ukiamisha 3g inakua vizuri . Tatizo kwenye mtandao wa kizalendo unaniangushatatizo si la ttcl ni la simu, simu ndio hazikubali kutumia line zote mbili 3g
Simu yangu inasupport 4G network;mkuu hujaweka wazi unatumia TTCL 3g au 4g na ukiswitch baina ya hizo kama unapata stable connection
hakuna tatizo hapo mkuu ndio simu zilivyotengenezwa slot 1 ikiwa 3G/4G ujue slot 2 ni 2G peke yake, na TTCL hawana 2G, hivyo huna ujanja inabidi ikae kwenye sehemu ya 3G/4G.Simu yangu inasupport 4G network;
1. Nikiweka line ya TTCL kwenye sim slot 2 haisomi kabisa mtandao.
2. Nikiweka line hiyo hiyo ya TTCL kwenye sim slot 1, inasoma 4G (ingawa kuna muda mtandao unashuka haupo stable).
Tatizo Nikiweka kwenye sim slot 1 line ya TTCL, sim slot 2 inaonyesha mtandao vizuri lakin sms zinachelewa zitakazoingia kwenye slot 2 ya mtandao mwingine+ sometimes calls haziingi za kutoka slot 2...Nazani nimeeleweka, nini itakua tatizo?.
hakuna tatizo hapo mkuu ndio simu zilivyotengenezwa slot 1 ikiwa 3G/4G ujue slot 2 ni 2G peke yake, na TTCL hawana 2G, hivyo huna ujanja inabidi ikae kwenye sehemu ya 3G/4G.
sms kuchelewa au call kutoingia pengine ni hio dual sim yako. maana zipo za aina mbili.
1. dual sim standby ambayo line 1 ikitumika basi line 2 huwezi tumia. mfano ukiwa unaongea na line 1 basi line 2 mtu akikupigia hakupati.
2. dual sim active, hii ndio muda wote line zote mbili zinatumika, hata kama utakuwa unatumia line 1. sema simu hizi zipo chache sana na bei zake hazijambo.
Njoo na cm ya 3G 4G 5G n.kKuwa Mkweli acha visingizo vya ajabu! TTCL wanatumia 3 & 4G pekee ukiwa na Simu yenye 1& 2 G inakula kwako! Pia Ukiwa na Simu inayotumia mfumo wa WDMA pia inakula kwako huu mfumo uliishafungwa na Mamlaka ya Mawasiliano, TCRA hivyo hutumia laini za aina ya GSM!
Sasa mzee we waishi Tandahimba ndani ndani huko wategemea nini,,, huku TTCL ndo mkombozi speed yake sio mchezo mchezoTakribani miezi 3 nimenunua laini ya simu kutoka kampuni ya simu ya umma yaani TTCL, baada ya kuja na kufanya promotion ya huduma zao pamoja na vifurushi mbalimbali ambavyo mteja atafaidi baada ya kujiunga na huduma zao.
Kwa kuzingatia kuwa Mimi ni mzalendo nikaona wacha ninunue laini kwa ajili ya matumizi yangu. Pamoja na makandokando niliyoyapata Wakati wa kusajili Mpaka kuitumia lakini naudhika zaidi juu stability na reliability ya network, maana hiyo laini naitumia kwenye tablet yangu (iPad) lakini mtandao unayumba yumba kila mara na wakati mwingine unakatika Mpaka u-restart ndo mtandao unarudi, kwa hili linaniletea usumbufu mkubwa juu ya matumizi ya internet maana ikiwa kukatika huku kunavyo endelea nakosa kupata habari au kuweza kuperuzi kwenye mitandao kadri nitakavyo kinyume Na mitandao mingine ya simu.
TTCL kama kweli mnataka kuungwa mkono na watanzania kwa kununua huduma na bidhaa zenu ni lazima mjiangalie katika hili maana laini zenu ni selective mno maana kuna baadhi ya simu zinazotumia laini mbili zinagoma kufanya kazi mpaka iwe peke yake! Ili mliangalie na mlifanyie kazi hasa kwenye ipad maana nimeliexperince kwa muda Sasa, vinginevyo mtaishia kulalamika Kuwa watanzania hawaungi mkono kampuni za Tanzania.