wakuu kama mnavyona hiyo picha hapo inaonyesha kama vile sina internet connection yeyote japo hapo ipo connected kabisa na pia kutokana na hali hiyo imesababisha nashindwa kabisa ku connect wireless network kabisa.
Nimechek drivers nimeona kama hivi:
Sasa hapa inanichanganya kuwa tatizo ni driver au ni nini? Naombeni msaada wenu wakuu.
.....THANKS IN ADVANCE...!!
Toa maeelezo ya kutusaidia ili tuweze kukusaidia,je unatumia laptop au desktop?Kuingia kwenye network umeunganisha wire au unatumia wireless network?Hiyo alaam "X" inaonyesha ni isuue ya connection(physical connection).

Me natumia Hp comaq laptop ina win 7-64bit
Na kama ilivyo onekana hapo nina tumia modem..ila pamoja na kwamba Pc ipo kweny conection bado alama X haitoki.