mbarakasaidi Member Joined Feb 19, 2017 Posts 86 Reaction score 20 Jul 27, 2019 #1 Nawezaje kupakuwa movie ikawa phone storage? Maana nikipakuwa,inakuwa offline.
pojore JF-Expert Member Joined Mar 12, 2017 Posts 521 Reaction score 1,750 Jul 28, 2019 #2 haiwezekani kwa sababu ya hati miliki