Netflix wameiondoa Line of Duty

GuDume

JF-Expert Member
Jan 18, 2015
6,634
2,000
Hii series nlianza ingalia Netflix season one. Bahati nzuri nlikuwa nmeisha idownload. Nikarudi kuendelea na nyingine nikakuta wameisha iondoa. Nikalazimika ku download kupitia torrents.

Ni nzuri kwa watu mnaopenda series zilizotulia zikihusisha pia Corrupt Cops na Changamoto zao. Pia, Gangs wa drugs na jijsi wanavyojipenyeza kwenye system na money laundering. These people aint nothing to stop them when they wanna make their moves.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom