NETANYAHU's speech on Africans and Arabs

yaani toka nilivosoma huu ujumbe nyege zote ziliniishia

Unamambo sana rafiki, licha ya maneno makali na mengine yaliyopo kwenye hili bandiko, wamemsingizia huyu Waziri Mkuu wa Israel, hiyo kitu imeanza kitambo sana wengine wakisema yalitamkwa na Botha aliyekua Rais wa Afrika ya Kusini wakati wa ubaguzi wa rangi. Lakini tukirudi kwenye uhalisia, waafrika tuna tatizo kubwa sana.
 
issue sio kasema nani issue ni huo ukweli unauma sana
 
issue sio kasema nani issue ni huo ukweli unauma sana

Hapo ndio penyewe sasa, wewe kweli njaa inalikabili bara la Africa, eti wazungu ndio wanakaa vikao wajadili wanafanyaje kuhusu Africa, sijui tunakabiliwa na magonjwa, wazungu ndio wako mbele wanamfanya mikutano kwa ajili yetu, seriously? Tunajiita nchi huru zenye viongozi wanaotembea barabarani kwenye misafara mirefu inayotuongezea foleni tu.
 
yaani ukweli huu mpaka kichwa kinauma halafu kuna watu wanatoa fungu la kumi kwa ajili ya israel
TUSIWE WEPESI WA KUJIBU BILA KUTAFITI, KWA KUMBUKUMBU ZANGU MANENO HAYA YALIWAHI KUTAMKWA NA KIONGOZI WA AFRIKA KUSINI WAKATI HUO AFRIKA KUSINI IKIWA CHINI YA MAKABURU. ALIYEMSINGIZIA NETANYAHU KUWA ALISEMA NA AKAMWEKA PICHA YAKE AKIWA KWENYE UKUMBI WA UMOJA WA MATAIFA AJIPIME AKILI YAKE KAMA IKO GOOD...
 
WTF!!! Son of bitch Netanyahu. *** yuuu!!!!
 
Hii speech mbona wanasingiziwa wengi sana? Na kila mara inapopostiwa unakuta walengwa wamebadilishwa. Mara speech ya Botha kwa weusi, sijui ni speech ya Netanyahu kwa weusi, leo imekuwa speech ya Netanyahu kw waarabu na weusi.
 
Hapana, huu ni ujinga tena ushenzi MKUBWA, hata kama mjusi hafanani na mamba, sio kuwa binadamu wote wako wasa, kwa hizo kauli no kudhihilisha kuwa wao wako pure and other are impurity,
 
Aliitoa lini?

Wapi?

Lete chanzo cha kuaminika.

NB: Uzushi na Uchonganishi sio kitu kizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…