Anaitwa nani? Maana kama tayari hotuba hii inaonekana ya Netanyahu, na wewe unajua kwa uhakika kabisa kuwa ni ya mtu mwingine, ni vema kumtaja mtu huyo ili kuondoa mkanganyiloHii hotuba siyo ya huyo uliyemtaja. Kwa sisi tuliyoanza kutumia smartphone kabla ya awamu ya tano tushaijadili sana na kubishana sana juu ya hotuba hii. Ikathibitika pasipo shaka kuwa siyo yake. Ni maneno ya kaburu wa Afrika Kusini.
Waarabu na waislam wanao umizwa na kichapo kinachotolewa na Israel kwa Wapalestina inapo wachokoza ndiyo walioamua kumuhusisha Netanyahu.
Kwakweli inauma sana lakini kuna ukweli fulani hivi!!HOTUBA YA WAZIRI MKUU WA ISRAEL NETANYAU KUHUSU AFRIKA.
Hatujiwajibishi hata kidogo kujaribu kuthibitisha au kudokeza kwa kila mtu na kwa Waafrika na Waarabu kuwa Sisi (Weupe) tu watu tuliobora zaidi, tumelionesha hili kwa Waafrika na Waarabu kwa njia 1001.
Nchi ya Israeli tunayoijua Leo haijafanywa kwa kufikiri hewani tu, tumeifanya kwa gharama ya akili, jasho na damu.....hatujifanyishi kama weupe wengine kuwa tunawependa weusi.
Ukweli wa kwamba wausi na Waarabu wanaonekana kama binadamu hauwafanyi wao kuwa binadamu welevu. Nungunungu sio panya na mjusi sio mamba japokuwa wanafanana. Kama Mungu angetaka sisi (Weupe) kuwa Sawa na Weusi na Waarabu, angetuumba Sawa sisi sote kwa rangi moja na akili Sawa lakini akatuumba sisi tofauti weupe Weusi, njano, Watawala na Watawaliwa. Kielimu tuko juu na bora zaidi kwa Weusi na Waarabu ambayo imekuwa ikithibitishwa mbele ya tafakuri za Busara zenye Mashaka kwa miaka.
Ninaamini kuwa Muyahudi ni mwaminifu, ni mcha Mungu ambaye ameliinesha kwa vitendo na njia sahihi ya yeye kuwepo. Hadi Sasa kila mmoja wetu ameliona hili kwa matendo kwamba Waafrika na Waarabu hawawezi kujitawala wenyewe.
Wape bunduki, watauana kila mmoja wao kwa wao. Hawana jema lolote zaidi ya kupiga kelele, kucheza, kuoa wake wengi, kunywa pombe kupindukia, uchawi, kijiingiza katika ngono, kujifanyisha kanisani, wivu, kupigana na kulaumu mambo yasiyo ya msingi.
Sote tukubaliane kuwa watu Weusi ni ishara ya umasikini, uduni wa akili au ubongo, uvivu na wenye mihemuko ya Uzembe (Kizembe);
Watapigana na kujiundia chuki na uadui wao wenyewe. Hii huthibitisha kwa mtu yeyote akiwemo ******** kuwa Waafrika hawajui wanachokitaka. Je, hili haliwezekani?
Kwa hiyo, suala la kuwa mtu mweupe aliumbwa kumtawala mtu mweusi, ni kweli, Waafrika watabakia kuwa na ndoto za mchana na hapa ni kiumbe (Mtu mweusi) keamba hukosa mtazamo wa kuona mbali bali huona lililokaribu na bado hushindwa kujua cha kufanya katika hayo yaliyo karibu yake.
Mtu mweusi ni mjinga kwa kiwango kwamba hawezi kujipangia mambo kwa ajili ya maisha yake ya badaye hata mwaka mmoja mbele. Sasa wataendeleaje na kuishi sana.
Sasa ******** gani hupinga kuwa mtu mweusi hakuzaliwa ombaomba, hukua ombaomba, huonekana ombaomba, huugua kama ombaomba na hufa kama ombaomba? Hili limethibitishwa mbele ya kujiuliza kwa Busara. Ninashangaa kwamba mpaka Sasa Waafrika wengi huenda shule kwa kusukumwa (Kulazimishwa) na walioko shuleni ni maadui. Huu ni ujauzito wa upumbavu Afrika unaohitaji ujio wa pili wa Yesu.
Mwili wa Waafrika ni wenye rutuba sana kwa magonjea yote Ulimwenguni kwasababu hawaogopi hata VVU/UKIMWI. Hili huniacha Mimi na maswali mengi kuwa, macho yetu yaliumbwa Sawa na ya Waafrika,,.?
Ninasikia Afrika bado kuna tamaduni zinazowapinga wao wasitumie vyoo, inakela sana.
Samahani sana kwa kusema hivyo, ninachelea kusema kwamba, kwanini Mungu aliwaumba Waafrika?
Walilia Uhuru lakini wameshindwa kujitawala wao wenyewe. Kwa hakika kuwa Mwafrika ni ugonjwa usiotibika hata kwa sala (Maombi) haitoshi.
Wana madini lakini hawayafanyii lolote. Hivyo, acha weupe twende Afrika tukachukue tunachoweza kuchukua, kisha tuviache visivyo vya thamani kwao. Umasikini ni ugonjwa kwa Weupe lakini kwa Weusi ni suala la kawaida kabisa. Yesu njoo haraka uwaokoe Waafrika na Waarabu.
DUNIA NI YA WENYE HEKIMA TU.
Imefasiriwa na
Mwl. Jonas Kifunda.
Jk/TzVsSb/Sb
L.
Copied, Maneno haya yanauma na kuudhi ila, tuangalie ujumbe je , anataka kutuambia nini? Haya ni ya kweli? Kwani Afrika tu?, tu tujitathimini kwa
Tatizo hawa nao ni wa huko huko you never know watakuja na msimamo wa kutuokoa au kutukandamiza!Amesema ukweli mtupu, tuangalie wapi tunakosea na tujirekebishe, kweli tuombe yesu na mtume warudi tena kuja kutuokoa
Mods, huu uzi mlipaswa kuufuta. Aliyeupandisha hapa na yeye aliyetunga uongo huu walipaswa kushughulikiwa kwa mujibu wa Sheria za Nchi muda huu.
PM Netanyahu hajawahi na hatakaa atoe hotuba au maoni ya hovyo kama hayo. Hizo ni chuki na ghiliba tu zenye mlengo mwovu wa chuki kwa mlengwa/walengwa.
Nalaani kwa nguvu zote uongo na chuki hii!
Tuna fail coz hatujiamin na tunajidharauSina hata cha kusema, maana inabidi mtu umeze mate ya akili kwanza. Maana naona ukweli ni zaidi ya uongo hapa, japo kuwa amesahau kuwa akili ya binadamu hata kama ina uwezo wa kufikiri kiasi gani kama hauishugulishi lazima utaonekana ni mjinga..... Huyu jamaa angesema African ni wavivu hata kufikiri angekuwa kasema ukweli zaidi ya hapa, lakini kusema hawana uwezo na hawajui nini wafanye kuna shida hapo. Japo kasema ukweli hadi hatua fulani!
Kuufuta ujinga wa Mwafrika ni kazi kweli kweli.Mods, huu uzi mlipaswa kuufuta. Aliyeupandisha hapa na yeye aliyetunga uongo huu walipaswa kushughulikiwa kwa mujibu wa Sheria za Nchi muda huu.
PM Netanyahu hajawahi na hatakaa atoe hotuba au maoni ya hovyo kama hayo. Hizo ni chuki na ghiliba tu zenye mlengo mwovu wa chuki kwa mlengwa/walengwa.
Nalaani kwa nguvu zote uongo na chuki hii!
Anaitwa nani? Maana kama tayari hotuba hii inaonekana ya Netanyahu, na wewe unajua kwa uhakika kabisa kuwa ni ya mtu mwingine, ni vema kumtaja mtu huyo ili kuondoa mkanganyilo
Anaitwa nani? Maana kama tayari hotuba hii inaonekana ya Netanyahu, na wewe unajua kwa uhakika kabisa kuwa ni ya mtu mwingine, ni vema kumtaja mtu huyo ili kuondoa mkanganyilo
Uzushi mtupu.
Halafu kuna mapumbavu yanaouamini.
Kweli adui ujinga bado hatujamshinda kabisa.
Uzushi mtupu.
Halafu kuna mapumbavu yanaouamini.
Kweli adui ujinga bado hatujamshinda kabisa.
Huu ni uzushi bhana! ilisha jadiliwa tena hapaAnaitwa nani? Maana kama tayari hotuba hii inaonekana ya Netanyahu, na wewe unajua kwa uhakika kabisa kuwa ni ya mtu mwingine, ni vema kumtaja mtu huyo ili kuondoa mkanganyilo
Na ameongezea pale kwenye maneno ya Trump kwamba tunahitaji kutawaliwa tena.
Ni wapi na lini Trump alisema Waafrika wanahitaji kutawaliwa tena?
Don't be so gullible, usiamini amini kila kitu unachosikia, jiulizwe kimesemwa wapi, lini?
Netanyahu na Trump, viongozi wa US na Israel, hawawezi kuwa openly racist kihivyo, hivi mnaishi kwenye mashimo ya wapi huko ambako radio waves za news za dunia zinafika zimepinda?
Nashangaa watu walivyowepesi kuamini mambo ya kizushi bila kushirikisha ubongo.hii hutuba sio ya netanyau,hana muda mchafu wa kuandaa hotuba kama hii,kama wewe ulivyokuwa na muda mchafu wa kutafsri hii hotuba kutoka international forum, halafu imejaa ukweli mtupu .hii hotuba ni ya botha kaburu la afrika kusini
Mkuu, umeyaamini? Muulize mleta mada akwambie hii hotuba aliitolea wapi?ni maneno ya kibaguzi sana