He deserves to be.And he's actually a determined person.
He is genius fyi
ni gaidi namba moja., hana huruma na wanadam wenzake wa parestina., anawaua wakubwa kwa wadogo na kuwapora ardhi zao huku dunia nzima ikibaki kimya kanakwamba anachofanya ni sahihi. walipouawa wafaransa 12 kwenye tukio maarufu hivi karibuni tulishuhudia maandamano makubwa,. Leo kila uchao waparestina wanauwawa hakuna wakuwasemea.,huruma iko wapi!!!