nankumene
JF-Expert Member
- Nov 12, 2015
- 7,408
- 8,225
Waziri mkuu wa israeli Bw Benjamin Netanyahu alifanya ziara nchini Oman siku ya alhamisi na kurudi nyumbani siku inayofuata baada ya kupokea mwaliko wa kiongozi wa nchi hiyo Sultan Qaboos , Ofisi ya Netanyahu imeripoti
Taarifa hiyo imesema Netanyahu na sultani wamediscuss mambo mbalimbali ikiwemo amani ya kati ya israeli na palestina pamoja na mambo mengine yanayozihusu nchi hizo mbili, ziara hiyo imekuja baada ya baadhi ya wajumbe wa serikali ya palestina kutembelea oman siku za hivi karibuni kabla ya kiongozi huyo wa israeli kufanya ziara hio kwenye nchi hio ya kiarabu ambayo haina uhusiano wa kidiplomasia na israeli pia haiitambui israeli
Ikumbukwe pia israeli imekuwa ikijinasibu kuwa urafiki kati yake na mataifa mengi ya kiarabu umekuwa ukiimarika sana miaka ya hivi karibuni hasa mataifa kama saudi arabia,UAE na bahrain yanasemekana kuwa na mawasiliano na israeli, lakin sasa pia Oman ambayo ilishawahi kuwa na mawasiliano na israeli miaka 20 iliopita kabla ya kuvurugika inaonekana sasa mawasiliano yamerejea mpk kupeana mialiko, hayo yanajiri wakati Bw Trump anatarajia kutangaza dili lake la karne la amani kati ya israeli na palestina na inasemekana iwapo kama litafanikiwa kidogo tu basi mataia hayo ya kiarabu yanayowasilianaga na israeli nyakati za giza basi yatarejesha mahusiano yao na taifa hilo
Israel's Netanyahu meets Sultan Qaboos in surprise trip to Oman