dogo Hezbollah sio magaidi kama umelala pole sana hao wamo kwenye serekali ya Lebanon na wako katika Lebanan Parliament. Wale wakitaka kuiangusha serekali ya Lebanon ni dakika tu. Kwa hio wacha ujinga, sio kila watu ni magaidi. Dunia nzima tunajua gaidi ni Israel tu, ndio anayepiga sharia za UN.