Wewe kweli Mgalatia usiyekuwa na akili.Ujasiri na Uhodari wa Benjamin Netanyahu kwenye ulimwengu wa kivita ni copy and paste ya King David.
Mfalme David alikuwa hodari na jasiri Sana linapokuwa suala LA Vita. Utawala wa mfalme David ulijaa vita miaka 40.
Na ni nadra Sana David alipigwa.
Kutokana ni hilo kwenye bendera ya Israel kuna nyota na ile nyota Wameiita NYOTA YA DAUDI
Roho ileile, ujasiri uleule, Uhodari uleule wa mfalme David Umeoneka kwa Benjamin Netanyahu.
Netanyahu amepigana kwa mafanikio makubwa na maadui zake. Tumeona Wafilisti, Waamedi, Waajemi, Wamisri, Waashuru Wakianguka mbele ya Israel kutokana na Uhodari wa mfalme David mpya.
MUNGU IBARIKI ISRAEL🇮🇱
... atakata bichwa la Ayatollah sawa sawa na Daudi alivyokata lile la Goliath! Tumwombee Mungu amlinde na kumtunza azma yake ikapate kutimia.
Una kichefuchefu? Uko na mimba?Huwa naona kichefu chefu navyoona jitu jeusi likiamini mazayuni kina-Netanyau ndio wana wa Israeli
Heri Myahudi kuliko dini za misimamo mikali na Magaidi. Big up Netanyau
labda una ujauzitoHuwa naona kichefu chefu navyoona jitu jeusi likiamini mazayuni kina-Netanyau ndio wana wa Israeli
Mimi naweza kujustify baadhi ya mapigano ya Israel, ila siyo kwa mrengo wa kidini.Wakristo mmekuwa watu wa ovyo mno kuelekea huu mgogoro wa mashariki ya kati mpaka kuonyesha kuwa wapinzani wenu kidini wapo sahihi kuelekea hili🤗
😄😄😄😅 we jamaa; kwamba tumwombee afanyaje?... atakata bichwa la Ayatollah sawa sawa na Daudi alivyokata lile la Goliath! Tumwombee Mungu amlinde na kumtunza azma yake ikapate kutimia.
Wanalitaka bichwa kwenye beseni.😄😄😄😅 we jamaa; kwamba tumwombee afanyaje?
Mimi sio shabiki wa vita lakini kwenye hili; Wayahudi specifically Netanyahu na IDF yake wanalaumiwa bure tu, wa kulaumiwa ni yule aliye anzisha hi vita. Israel na Wapalestina walikua wanaishi kwa amani kabisa, yule aliyeshambulia na kuua raia 1200+ I think ndio anaekiwa kulaaniwa kwa nguvu zote; Palestinians wamejaribu several times kuishambulia Israel, matokeo yake always ni kupigwa na kuzidi kunyang'anywa ardhi, sioni Gaza kurudi mikononi mwa Wapalestina tena, wameisha nyang'anywa kama ambavyo wamekua wakinyang'anywa maeneo mengine; next time don't try it againWakristo mmekuwa watu wa ovyo mno kuelekea huu mgogoro wa mashariki ya kati mpaka kuonyesha kuwa wapinzani wenu kidini wapo sahihi kuelekea hili🤗
Netanyahu ni shetani mwenyewe.Ujasiri na Uhodari wa Benjamin Netanyahu kwenye ulimwengu wa kivita ni copy and paste ya King David.
Mfalme David alikuwa hodari na jasiri Sana linapokuwa suala LA Vita. Utawala wa mfalme David ulijaa vita miaka 40.
Na ni nadra Sana David alipigwa.
Kutokana ni hilo kwenye bendera ya Israel kuna nyota na ile nyota Wameiita NYOTA YA DAUDI
Roho ileile, ujasiri uleule, Uhodari uleule wa mfalme David Umeoneka kwa Benjamin Netanyahu.
Netanyahu amepigana kwa mafanikio makubwa na maadui zake. Tumeona Wafilisti, Waamedi, Waajemi, Wamisri, Waashuru Wakianguka mbele ya Israel kutokana na Uhodari wa mfalme David mpya.
MUNGU IBARIKI ISRAEL🇮🇱
Mnavokuwa uchi mmejizungusha mashuka pale kwenye jiwe jeusi huwa mnaakili au matope?? Untantoa udhu usinisogelee pale mpaka mnalaliana huku mna nguo nyepesi ndio tujue kuwa dini yenu inapenda tendo la ngono kupita maelezo???Huwa naona kichefu chefu navyoona jitu jeusi likiamini mazayuni kina-Netanyau ndio wana wa Israeli
Death to Israel! Death to America! Majinga kweli yale.Mimi sio shabiki wa vita lakini kwenye hili; Wayahudi specially Netanyahu na IDF yake wanalaumiwq bure tu, wa kulaumiwa ni yule aliye anzisha hi vita. Israel na Wapalestina walikua wanaishi kwa amani kabisa, yule aliyeshambulia na kuua rais 1200+ I think ndio anatakiwa kulaaniwa kwa nguvu zote; Palestinians wamejaribu several times kuishambulia Israel, matokeo yake always ni kupigwa na kuzidi kunyang'anywa ardhi, sioni Gaza kurudi mikononi mwa Wapalestina, wameisha nyang'anywa kama ambavyo wamekua wakinyang'anywa maeneo mengine; next time don't try it again
ni shetani kivipi?Netanyahu ni shetani mwenyewe.
Hakika tutayapiga mazayuni hadi yajute.😂😂😂Death to Israel! Death to America! Majinga kweli yale.