Mwaka huu wakiristo wa jf propaganda zenu zote zitaishaBenjamin Netanyahu:
“Iran inaingia kwenye mazungumzo ikiwa ni dhaifu kuliko wakati wowote katika historia ya utawala wa Kiislamu. Walitaka kutunyonga, lakini sasa sisi ndio tunawanyonga wao.”
11, April 2026
Akiwa katika vyombo vya habari aliwaambia watazamaji wake kuwa usitishaji wa mapigano wa wiki mbili ni "hatua njiani" tu kuelekea malengo ya Israeli.
Islamabad
Wakati wajumbe wa Iran wakijaribu kuonyesha msimamo mkali kwenye meza ya mazungumzo kule Pakistan, Netanyahu alitaka dunia (na soko la mafuta) ijue kuwa Iran inapigana kutokea kwenye kona, siyo kutokea kwenye nguvu.
Kujibu Hatua ya Trump: Hotuba yake ilikuja muda mfupi baada ya Donald Trump kutangaza kupitia Truth Social kuwa jeshi la Marekani limeanza kusafisha Mlango-bahari wa Hormuz na kuzamisha mashua 28 za Iran.
Alichokimaanisha kwa "Dhaifu"
Netanyahu alifafanua udhaifu huo kwa kusema:
1. Iran imepoteza miundombinu muhimu ya nyuklia katika mashambulizi ya Aprili 8 na 9.
2. Makamanda wake wakuu wa IRGC wameuawa (ikiwemo vifo vya hivi karibuni vya marubani na makamanda wa intelijensia).
3. Uchumi wa nchi hiyo unategemea kuachiwa kwa zile Tsh trilioni 15.5 zilizoko Qatar ili kuepuka machafuko ya ndani ya nchi.
Onyo la "Kidole Kwenye Kitufe"
Licha ya kusema Iran ni dhaifu, alisisitiza kuwa Israeli haijaweka silaha chini. Alisema: "Hata kama wanazungumza Islamabad, kidole chetu kiko kwenye kitufe cha shambulio. Hatutakubali makubaliano yoyote yanayoiacha Iran na uwezo wa kutengeneza bomu la nyuklia."
Leo Islamabad imeamka nje ya makubaliano ya pande mbili kufikiwa. Hivyo kauli ya Netanyahu ya kurudi vitani imehakikishwa.
Kuna watu wa propaganda kama nyie?Mwaka huu wakiristo wa jf propaganda zenu zote zitaisha
Wakiristo wa jf, mwaka huu chupi mtazivaa kichwani kwa kushabikia LitampuKuna watu wa propaganda kama nyie?
Mkaleta had 10points eti Marekani kazikubali
Mkaja na propaganda et NETANYAHU amekufa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kuna watu wanapenda kudanganywa na wajanja wameshajua namna ya kuwadanganya ili wapate followers.
Haya walidai kwamba Marekani imepiga magoti mbele ya Iran. Huko Islamabad hakuna makubaliano yoyote yaliyofikiwa, wametoka kapa. Muda wowote wanaweza kurudi kwenye uwanja wa vita.
Iran bado ina nguvu! Netanyau you should not underate IranBenjamin Netanyahu:
“Iran inaingia kwenye mazungumzo ikiwa ni dhaifu kuliko wakati wowote katika historia ya utawala wa Kiislamu. Walitaka kutunyonga, lakini sasa sisi ndio tunawanyonga wao.”
11, April 2026
Akiwa katika vyombo vya habari aliwaambia watazamaji wake kuwa usitishaji wa mapigano wa wiki mbili ni "hatua njiani" tu kuelekea malengo ya Israeli.
Islamabad
Wakati wajumbe wa Iran wakijaribu kuonyesha msimamo mkali kwenye meza ya mazungumzo kule Pakistan, Netanyahu alitaka dunia (na soko la mafuta) ijue kuwa Iran inapigana kutokea kwenye kona, siyo kutokea kwenye nguvu.
Kujibu Hatua ya Trump: Hotuba yake ilikuja muda mfupi baada ya Donald Trump kutangaza kupitia Truth Social kuwa jeshi la Marekani limeanza kusafisha Mlango-bahari wa Hormuz na kuzamisha mashua 28 za Iran.
Alichokimaanisha kwa "Dhaifu"
Netanyahu alifafanua udhaifu huo kwa kusema:
1. Iran imepoteza miundombinu muhimu ya nyuklia katika mashambulizi ya Aprili 8 na 9.
2. Makamanda wake wakuu wa IRGC wameuawa (ikiwemo vifo vya hivi karibuni vya marubani na makamanda wa intelijensia).
3. Uchumi wa nchi hiyo unategemea kuachiwa kwa zile Tsh trilioni 15.5 zilizoko Qatar ili kuepuka machafuko ya ndani ya nchi.
Onyo la "Kidole Kwenye Kitufe"
Licha ya kusema Iran ni dhaifu, alisisitiza kuwa Israeli haijaweka silaha chini. Alisema: "Hata kama wanazungumza Islamabad, kidole chetu kiko kwenye kitufe cha shambulio. Hatutakubali makubaliano yoyote yanayoiacha Iran na uwezo wa kutengeneza bomu la nyuklia."
Leo Islamabad imeamka nje ya makubaliano ya pande mbili kufikiwa. Hivyo kauli ya Netanyahu ya kurudi vitani imehakikishwa.
Wakati Iran ikidai Trump amekubali kuachia mabilioni ya fedha yaliyoko Qatar ili kufungua Hormuz, White House imejibu kwa neno moja: 'Uongo'Wakiristo wa jf, mwaka huu chupi mtazivaa kichwani kwa kushabikia Litampu
Aloshinda vita marekani ndio maana meli zinapita hormuz nyingi kuliko mwanzoMbona Wairan wa Kizura-mimba wamesema humu mara nyingi kuwa Iran tayari ishashinda vita?
Ni suala la muda tuAloshinda vita marekani ndio maana meli zinapita hormuz nyingi kuliko mwanzo
Ndio maneno yenu kila siku tushawazoeaNi suala la muda tu
Lugha hiyo hiyo ndio aliyoitumia kum drag Trump kuingia katika vita na Iran na matokeo yake Trump akaomba kusimamisha vitaBenjamin Netanyahu:
“Iran inaingia kwenye mazungumzo ikiwa ni dhaifu kuliko wakati wowote katika historia ya utawala wa Kiislamu. Walitaka kutunyonga, lakini sasa sisi ndio tunawanyonga wao.”
11, April 2026
Akiwa katika vyombo vya habari aliwaambia watazamaji wake kuwa usitishaji wa mapigano wa wiki mbili ni "hatua njiani" tu kuelekea malengo ya Israeli.
Islamabad
Wakati wajumbe wa Iran wakijaribu kuonyesha msimamo mkali kwenye meza ya mazungumzo kule Pakistan, Netanyahu alitaka dunia (na soko la mafuta) ijue kuwa Iran inapigana kutokea kwenye kona, siyo kutokea kwenye nguvu.
Kujibu Hatua ya Trump: Hotuba yake ilikuja muda mfupi baada ya Donald Trump kutangaza kupitia Truth Social kuwa jeshi la Marekani limeanza kusafisha Mlango-bahari wa Hormuz na kuzamisha mashua 28 za Iran.
Alichokimaanisha kwa "Dhaifu"
Netanyahu alifafanua udhaifu huo kwa kusema:
1. Iran imepoteza miundombinu muhimu ya nyuklia katika mashambulizi ya Aprili 8 na 9.
2. Makamanda wake wakuu wa IRGC wameuawa (ikiwemo vifo vya hivi karibuni vya marubani na makamanda wa intelijensia).
3. Uchumi wa nchi hiyo unategemea kuachiwa kwa zile Tsh trilioni 15.5 zilizoko Qatar ili kuepuka machafuko ya ndani ya nchi.
Onyo la "Kidole Kwenye Kitufe"
Licha ya kusema Iran ni dhaifu, alisisitiza kuwa Israeli haijaweka silaha chini. Alisema: "Hata kama wanazungumza Islamabad, kidole chetu kiko kwenye kitufe cha shambulio. Hatutakubali makubaliano yoyote yanayoiacha Iran na uwezo wa kutengeneza bomu la nyuklia."
Leo Islamabad imeamka nje ya makubaliano ya pande mbili kufikiwa. Hivyo kauli ya Netanyahu ya kurudi vitani imehakikishwa.
Benjamin Netanyahu:

Ni kawaida mume na mke kukaa kujadili tofauti zao licha kwamba Mwanamke ni dhaifu siku zoteBoss hamis77,
Kama Iran ni dhaifu wanajisumbua nini kukaa mezani na adui wanae mmudu?
Yani akili yako inashindwa hata kuwaza kitu simple like that Mkuu?
Kwanini hawakujadiliana mwanzoni ila ni baada ya kushindikana kwa matumizi ya nguvu ndio wameona watumie mazungumzo?