The Zanzibar Echo
JF-Expert Member
- Apr 21, 2025
- 490
- 837
Na Mimi naunga mkono Trump apewe hiyo tuuzo kwa jinsi alivyowaokoa waajemi kutoka kwenye kipigo cha wayahudi Mungu pekee ndo anajua.Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amesema amempendekeza Rais Trump kwa tuzo ya Amani ya Nobel na kwamba ameshatuma barua kwa kamati ya tuzo ya Nobel juu ya pendekezo lake hilo. Rais wa Marekani Donald Trump amesema ana matumaini kwamba Hamas wako tayari kuafikiana juu ya kuwaachilia mateka na usitishaji wa mapigano Gaza. Trump ameyasema hayo wakati alipokutana kwa mazungumzo na Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu katika Ikulu ya Marekani usiku wa kuamkia leo.
Viongozi hao wawili wamekutana kwa mara ya tatu mwaka huu na katika ziara hii ajenda kuu kati yao ilikuwa ni kujadili jinsi ya kuvimaliza vita vya Gaza vya zaidi ya miezi 21 kati ya Israel na Hamas.
Kwa upande wake, Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amesema amempendekeza Rais Trump kwa tuzo ya Amani ya Nobel na kwamba ameshatuma barua kwa kamati ya tuzo ya Nobel juu ya pendekezo lake hilo.
Trump amekuwa akijinasibu kama mpatanishi wa amani na amekuwa akitaka kutambulika kwa mchango wake wa upatanishi katika migogoro duniani ikiwemo mgogoro wa hivi karibuni kati ya India na Pakistan, pamoja na Serbia na Kosovo.
Trump alitegemea atapewa Sarah kwa siku mbili kapewa karatasi na mjinga ambaye hata uwezo wa kusimamisha vita hana unatoka direct white houseApewe tuzo
Trump alikuta vita moja ya ukrain ila sasa ameaznisha vita nyingien tatuHiyo tuzo ya Nobel itakuwa haina thamani tena akipewa Trump wakati yeye ndio anachochea migogoro zaidi akiona anae msupport anazidiwa ndio anageuka msuluhishi
Yeye Mwenyewe anatafutwa na ICC lini kajua samani ya Aman ¿¿Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amesema amempendekeza Rais Trump kwa tuzo ya Amani ya Nobel na kwamba ameshatuma barua kwa kamati ya tuzo ya Nobel juu ya pendekezo lake hilo. Rais wa Marekani Donald Trump amesema ana matumaini kwamba Hamas wako tayari kuafikiana juu ya kuwaachilia mateka na usitishaji wa mapigano Gaza. Trump ameyasema hayo wakati alipokutana kwa mazungumzo na Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu katika Ikulu ya Marekani usiku wa kuamkia leo.