msaada kwa mwenye uwezo wa kufix net framework ya 3.5 katika windows 8 mana kuna baadhi ya software nashindwa kuinstall kwa sabab ya net framework ya 3.5 haiwekwa kutumika katika windows 8
No sio fifa ni autocad na kasoftware flan hiv kadogo tu, na nlijaribu kuweka on katika "turn on/off features" lakin ikanambia nidownload features but nikidownload haimalizi inaleta error