Askari Kanzu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 4,596
- 1,236
Labda amekimbilia huko Norway kimaslahi zaidi. Itakuwa rahisi kuandika kitabu, kwa mfano, na kuchuma kirahisi. Gaddafi hawezi kukosa manesi wa kumpapasa papasa na kumtomasa tomasa 24/7. Jamaa bado ana mihela ya kutosha!As if she is going to be impossible to be replaced....
Labda amekimbilia huko Norway kimaslahi zaidi. Itakuwa rahisi kuandika kitabu, kwa mfano, na kuchuma kirahisi. Gaddafi hawezi kukosa manesi wa kumpapasa papasa na kumtomasa tomasa 24/7. Jamaa bado ana mihela ya kutosha!
Habari haielezi kwa nini kakimbilia Norway. Kama matatizo yako Libya, kwao Ukraine, karudi kwao kabla hakijanuka Libya, sasa Norway kaenda kwa sababu gani?
Kwa nini Norway na si Ukraine ?
Huyu kweli alikuwa ni muuguzi tu au chakula ya Gadafi? Mie nanahoji tu........................
Nimepata jibu kwa nini kakimbia.....ana taarifa za muhimu!Ruta umeaanza.... kwa kukusaidia tu inadaiwa alikua confidante (a woman somebody trusts and discusses personal matters and problems with) for more than seven years kama sikosei.... Tafakari.... chukua hatua upate conclusion.
hivi alikosa nesi wa Kilibya mpaka akachukua expert wa kumhudumia ?