Neria by Oliver Mtukudzi: Nani anaukumbuka?

Neria by Oliver Mtukudzi: Nani anaukumbuka?

MALCOM LUMUMBA

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2012
Posts
21,453
Reaction score
69,340
Wale wahenga mnaukumbuka huu wimbo ???
Ulikuwa kwenye ile filamu ya NERIA, alikuwa anaimbiwa baada ya kutendwa na Finehasi.

[Verse 1: Oliver Mtukudzi]
Neria, Neria hoo
Usaore moyo ka Neria, Mwari anewe
Usaore moyo ka Neria, Mwari anewe
Mwari anewe ka Neria, Mwari anewe
Kufirwa nemurume hanzvadzi, zvinoda moyo wekushinga
Usaore moyo ka Neria, Mwari anewe
Usaore moyo ka Neria, Mwari anewe
Mwari anewe ka Neria, Mwari anewe

[Verse 2: Oliver Mtukudzi]
Neria, Neria hoo
Usaore moyo ka Neria, Mwari anewe
Usaore moyo ka Neria, Mwari anewe
Shinga moyo shinga, Mwari anewe
Hupenyu imhindupindu, ngwarira mhepo dzezviyedzo
Usaore moyo ka Neria, Mwari anewe
Usaore moyo ka Neria, Mwari anewe
Mwari anewe ka Neria, Mwari anewe

[Verse 3: Oliver Mtukudzi]
Vanhukadzi vanobatwa senhapwa, kugara senherera
Usaore moyo ka Neria, Mwari anewe
Usaore moyo ka Neria, Mwari anewe
Shinga moyo shinga, Mwari anewe
Rufu rwune shanje, kutsaura vanodanana
Usaore moyo hanzvadzi, Mwari anewe
Usaore moyo ka Neria, Mwari anewe
Shinga moyo shinga, Mwari anewe
 
napenda nyimbo xa hivo ila sijui naxipata vp wala genre zake sizijui
ok wacha nikusaidie kwa hili:

Nyimbo zimegawanyika kwenye makundi 6 (mabala 6 yenye watu...Antactica haina watu - bara la 7)

Marekani: Pop (mfano wa zao lake ni Michael Jackson)

Amerika ya Kusini: Culture (mfano wa zao lake ni Bob Marley)

Africa: Custom (hapa ni complicated kidogo kwasababu ya Utalii...ila mifano ni kama South Africa, Naigeria na Tanzania...in short sisi ni kama watu wa bara la Amerika ya kusini yaani Culture)

Asia....ntaendelea baadae mkuu
 
Nasubir uendeleee
 
Yaan hii movie nilkuwa nikiiangalia lazima nilie, nilkuwa cjuagi kwanini ilkuwa vile
 
Hapo hakuna dvd ni mwendo wa kanda za tofali deki ikichafuka unachukua karatasi nyeupe unasafisha kanda ikilegea unachukua sarafu unakaza hatari
 
Ile muvi ya Neria ilikuwa kali sanaa pia,,niliiangalia zaman mpk nimesahau maudhui ila kipande cha huo wimbo siez sahau
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom