Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,674
- 14,097
Ukiondoa CCM hata ofisi za umma zisizo na mahusiano na CCM ya moja kwa moja nepotism imekithiri hatariCCM ndio baba wa nepotism
Ni jambo linalo umiza.Nchi hii inaenda kujifia nasi tukiitizama tu.
Nepotism, Nepotism! Toa kwanza maana ya hilo neno ndo watu wakuelewe! Umekalia Nepotism, Nepotism!Huu ni ushauri mdogo ukichangiwa na maoni binafsi:
- Kama taifa ambalo tumeamua kufanya kila aina ya ujinga lakini inabidi tujipe tahadhari na ukomo wa ujinga wetu.
Hapa nazungumzia kujiweka mbali na "Nepotism" tunaweza fanya kila aina ya ujinga lakini kuendekeza huyu mdudu nepotism haina afya kabisa kwa taifa.
Huyu mdudu nepotism anazalisha kila aina ya magonjwa taifani kama uzembe, ufisadi ulio kithiri, rushwa iliyo kithiri, ubadhirifu wa mali za umma, kutowajibika, kujuana na kila aina ya magonjwa yanayo fifisha maendeleo.
Ni rahisi sana kupambana na rushwa kama taifa halina nepotism lakini kama lina nepotism iliyo kithiri ni ngumu kufanya hivyo.
Nepotism ni kikwazo kikubwa cha maendeleo katika mataifa hasa ya Afrika.
Sasa ofisi, mashirika na taasisi za umma zimeharibiwa na nepotism iliyo kithiri.
Hili wala sio swala la kuficha Watanzania mwenzangu tumekuwa wajinga tumegeuza ofisi, mashirika na taasisi za umma kuwa za kwetu na za watu wetu wa karibu na wale wanao tufahamu.
Sio serikalini, sio kwenye vyombo vya ulinzi ni mwendo wa Baba kumuachia mtoto au mjomba, ni mwendo wa Shangazi kumbeba binamu, rafiki yake.
Sio jambo la kushangaza ndani ya taasisi za kiserikali watu kustaff na madaraka kuwa kabidhi watu wao wa karibu, vyombo vya ulinzi simu za baba, wajomba, shangazi zimekithiri.
Taifa limefika hatua kama hauna connection ya ukoo, urafiki au kujuana kulitumikia taifa kwako ni ngumu kabisa.
Hatuwezi kupambana na kila aina ya uovu ndani ya nchi kama "Nepotism" imekithiri itakuwa ni mwendo wa kufichiana makosa na kuoneana aibu.
Kama Taifa tunapaswa kujitafakari upya na kukata huu mzizi kama ikiwezekana licha ya kuwa ni ngumu.
Watu gani wanielewa ambao hawaja elewa ?Nepotism, Nepotism! Toa kwanza maana ya hilo neno ndo watu wakuelewe! Umekalia Nepotism, Nepotism!
Hamna ofisi ya umma isiyo na mahusiano na CCMUkiondoa CCM hata ofisi za umma zisizo na mahusiano na CCM ya moja kwa moja nepotism imekithiri hatari
MkuuHuu ni ushauri mdogo ukichangiwa na maoni binafsi:
- Kama taifa ambalo tumeamua kufanya kila aina ya ujinga lakini inabidi tujipe tahadhari na ukomo wa ujinga wetu.
Hapa nazungumzia kujiweka mbali na "Nepotism" tunaweza fanya kila aina ya ujinga lakini kuendekeza huyu mdudu nepotism haina afya kabisa kwa taifa.
Huyu mdudu nepotism anazalisha kila aina ya magonjwa taifani kama uzembe, ufisadi ulio kithiri, rushwa iliyo kithiri, ubadhirifu wa mali za umma, kutowajibika, kujuana na kila aina ya magonjwa yanayo fifisha maendeleo.
Ni rahisi sana kupambana na rushwa kama taifa halina nepotism lakini kama lina nepotism iliyo kithiri ni ngumu kufanya hivyo.
Nepotism ni kikwazo kikubwa cha maendeleo katika mataifa hasa ya Afrika.
Sasa ofisi, mashirika na taasisi za umma zimeharibiwa na nepotism iliyo kithiri.
Hili wala sio swala la kuficha Watanzania mwenzangu tumekuwa wajinga tumegeuza ofisi, mashirika na taasisi za umma kuwa za kwetu na za watu wetu wa karibu na wale wanao tufahamu.
Sio serikalini, sio kwenye vyombo vya ulinzi ni mwendo wa Baba kumuachia mtoto au mjomba, ni mwendo wa Shangazi kumbeba binamu, rafiki yake.
Sio jambo la kushangaza ndani ya taasisi za kiserikali watu kustaff na madaraka kuwa kabidhi watu wao wa karibu, vyombo vya ulinzi simu za baba, wajomba, shangazi zimekithiri.
Taifa limefika hatua kama hauna connection ya ukoo, urafiki au kujuana kulitumikia taifa kwako ni ngumu kabisa.
Hatuwezi kupambana na kila aina ya uovu ndani ya nchi kama "Nepotism" imekithiri itakuwa ni mwendo wa kufichiana makosa na kuoneana aibu.
Kama Taifa tunapaswa kujitafakari upya na kukata huu mzizi kama ikiwezekana licha ya kuwa ni ngumu.
Punguza kucheka cheka hovyo
Hatari sana. vipo kwa wingi kwenye jamii zetu kuviondoa inahitaji nguvu kubwa sanaNepotism na ndugu yake Tribalism.
ungetoa na takwimu angalau ya ofisi moja ya umma ili tuone hali ilivyo na kama hao waliwekwa kupitia nepotism hawana hizo sifa..Huu ni ushauri mdogo ukichangiwa na maoni binafsi:
- Kama taifa ambalo tumeamua kufanya kila aina ya ujinga lakini inabidi tujipe tahadhari na ukomo wa ujinga wetu.
Hapa nazungumzia kujiweka mbali na "Nepotism" tunaweza fanya kila aina ya ujinga lakini kuendekeza huyu mdudu nepotism haina afya kabisa kwa taifa.
Huyu mdudu nepotism anazalisha kila aina ya magonjwa taifani kama uzembe, ufisadi ulio kithiri, rushwa iliyo kithiri, ubadhirifu wa mali za umma, kutowajibika, kujuana na kila aina ya magonjwa yanayo fifisha maendeleo.
Ni rahisi sana kupambana na rushwa kama taifa halina nepotism lakini kama lina nepotism iliyo kithiri ni ngumu kufanya hivyo.
Nepotism ni kikwazo kikubwa cha maendeleo katika mataifa hasa ya Afrika.
Sasa ofisi, mashirika na taasisi za umma zimeharibiwa na nepotism iliyo kithiri.
Hili wala sio swala la kuficha Watanzania mwenzangu tumekuwa wajinga tumegeuza ofisi, mashirika na taasisi za umma kuwa za kwetu na za watu wetu wa karibu na wale wanao tufahamu.
Sio serikalini, sio kwenye vyombo vya ulinzi ni mwendo wa Baba kumuachia mtoto au mjomba, ni mwendo wa Shangazi kumbeba binamu, rafiki yake.
Sio jambo la kushangaza ndani ya taasisi za kiserikali watu kustaff na madaraka kuwa kabidhi watu wao wa karibu, vyombo vya ulinzi simu za baba, wajomba, shangazi zimekithiri.
Taifa limefika hatua kama hauna connection ya ukoo, urafiki au kujuana kulitumikia taifa kwako ni ngumu kabisa.
Hatuwezi kupambana na kila aina ya uovu ndani ya nchi kama "Nepotism" imekithiri itakuwa ni mwendo wa kufichiana makosa na kuoneana aibu.
Kama Taifa tunapaswa kujitafakari upya na kukata huu mzizi kama ikiwezekana licha ya kuwa ni ngumu.
Hakuna mahali nilipo mlazimisha mtu kusoma huu uzi kama sio level zako temana naoAcha ushamba toa kwanza maana ya msamiati "nepotism" ndo uendelee na story nyingine unawaandikia hapa ni waswahili na sio wazungu.
Zingatia neno moja kwa mojaHamna ofisi ya umma isiyo na mahusiano na CCM
Una Nepotism guliblyPunguza kucheka cheka hovyo
Nikimwogopa huyo Mungu ina nisaidia nini sasa. mambo ya kijinga hayaungetoa na takwimu angalau ya ofisi moja ya umma ili tuone hali ilivyo na kama hao waliwekwa kupitia nepotism hawana hizo sifa..
Vilevile kama unamuogopa Mungu tuhakikishie wewe hujawahi kupendelea/kupendelewa au kuomba kupendelewa sehemu ambayo kuna ndugu/rafiki/ jamaa.
Sawa, ndo na wewe upunguze nepotism kwenye thread zakoHakuna mahali nilipo mlazimisha mtu kusoma huu uzi kama sio level zako temana nao
Nizingatie neno moja moja au nizingatie hoja iliyo mbele yetu?Zingatia neno moja kwa moja
Mkuu hii changamoto kwa aina ya viongozi tulio nayo wala tusidhani kama itamalizika zaidi ya kuongezeka na kusababisha mpasuko mkubwa kwenye taifa haswa kizazi kinachokuja.Huu ni ushauri mdogo ukichangiwa na maoni binafsi: