Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,393
- 14,500
Nahodha wa Bafana Bafana kwenye CHAN2024, Neo Maema amepewa mkono wa kwaheri na klabu yake ya Mamelodi Sundowns baada ya kuhudumu klabuni hapo kwa miaka minne na kuifungia magoli 13, akisaidia ‘assists’ mengine 14 kwenye mechi 120.
Maema 29, raia wa Afrika Kusini ambaye anatarajiwa kujiunga na Simba Sc baada ya kutamatika kwa michuano ya CHAN2024 ameisaidia Sundowns kushinda Mataji manne ya Ligi Kuu Afrika Kusini, taji moja la Nedbank Cup, taji moja la MTN8, na taji moja la African Football League kwa kipindi cha miaka minne cha utumishi wake klabuni hapo.