mjingamimi JF-Expert Member Joined Aug 3, 2015 Posts 45,751 Reaction score 55,787 Jul 19, 2024 #2 Acha apige hela
think tank01 JF-Expert Member Joined Aug 11, 2022 Posts 292 Reaction score 431 Jul 19, 2024 #3 Ikiwa anaemtukia ni Mungu wa kweli basi nitamkuta mbinguni tumwimbie Baba yetu 😊
Wagumu Tunadumu JF-Expert Member Joined Dec 10, 2022 Posts 7,593 Reaction score 23,195 Jul 19, 2024 #5 Anaitwa nan
B Bush Dokta JF-Expert Member Joined Apr 11, 2023 Posts 36,230 Reaction score 60,550 Jul 19, 2024 #6 DATAZ said: View attachment 3046307 Click to expand... Unaweza kukuta hawa wametumwa na mtu mrefu sisi tunacheka chake tu na kung'ang'ania masanduku ya kura.
DATAZ said: View attachment 3046307 Click to expand... Unaweza kukuta hawa wametumwa na mtu mrefu sisi tunacheka chake tu na kung'ang'ania masanduku ya kura.
TAI DUME JF-Expert Member Joined Feb 20, 2014 Posts 10,745 Reaction score 29,218 Jul 19, 2024 #7 Itakuwa kiboko ya wachawi ameanza kuigiza movie za Hollywood
Mnachihanguuu JF-Expert Member Joined Feb 10, 2023 Posts 4,977 Reaction score 7,336 Jul 19, 2024 #8 Shida ni kwamba ukristo unaongozwa kwa hisia na mawazo ya watu
B Bush Dokta JF-Expert Member Joined Apr 11, 2023 Posts 36,230 Reaction score 60,550 Jul 19, 2024 #9 DATAZ said: View attachment 3046307 Click to expand... Mzee hii picha umaipatia....hapo ni nje ya uwanja karibu na Kanisa lake kuna hiyo nyumba nzuri. Jamaa ana Kanisa lina Speaker very Expensive Life zinatoa mziki na saudi nzuri sana.
DATAZ said: View attachment 3046307 Click to expand... Mzee hii picha umaipatia....hapo ni nje ya uwanja karibu na Kanisa lake kuna hiyo nyumba nzuri. Jamaa ana Kanisa lina Speaker very Expensive Life zinatoa mziki na saudi nzuri sana.
Nifah JF-Expert Member Joined Feb 12, 2014 Posts 34,409 Reaction score 82,301 Jul 19, 2024 #10 Eti SWAT, sidhani hata kama wanaijua maana yake sio mvaaji wala Nabii. Nabii kavaa gloves kuficha sugu za mkorogo, anajiona mjaaaanja mwenyewe.
Eti SWAT, sidhani hata kama wanaijua maana yake sio mvaaji wala Nabii. Nabii kavaa gloves kuficha sugu za mkorogo, anajiona mjaaaanja mwenyewe.
Mgeni wa Jiji JF-Expert Member Joined Jul 27, 2017 Posts 10,484 Reaction score 19,987 Jul 19, 2024 #11 Wajinga ni wengi sana kwenye hii nchi yetu
hugo jr JF-Expert Member Joined Jun 3, 2018 Posts 502 Reaction score 1,646 Jul 20, 2024 #12 duuh hatar sana siku hz za mwisho
Kitchener JF-Expert Member Joined Apr 10, 2019 Posts 13,823 Reaction score 27,694 Jul 20, 2024 #13 of course huyu katumwa na masisiemu kupoteza watu reli.
Evelyn Salt JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 77,080 Reaction score 165,194 Jul 20, 2024 #14 Kitaulo kimemkolea.....
Manjagata JF-Expert Member Joined Mar 7, 2012 Posts 16,456 Reaction score 18,489 Jul 20, 2024 #15 DATAZ said: View attachment 3046307 Click to expand... Kameshiba hela za ndezi!
Dreadnought JF-Expert Member Joined Mar 25, 2013 Posts 2,902 Reaction score 3,984 Jul 20, 2024 #16 Nifah said: Eti SWAT, sidhani hata kama wanaijua maana yake sio mvaaji wala Nabii. Nabii kavaa gloves kuficha sugu za mkorogo, anajiona mjaaaanja mwenyewe. Click to expand... Special Weapons and And Tactics
Nifah said: Eti SWAT, sidhani hata kama wanaijua maana yake sio mvaaji wala Nabii. Nabii kavaa gloves kuficha sugu za mkorogo, anajiona mjaaaanja mwenyewe. Click to expand... Special Weapons and And Tactics
Bantu Lady JF-Expert Member Joined Jan 9, 2014 Posts 9,871 Reaction score 32,686 Jul 20, 2024 #17 Kuna watu wanaoenda kwa hawa watu, unashindwa kuelewa akili zao na mawazo yao yakoje na yanawaza nini. Ni wa kuwaonea huruma tu
Kuna watu wanaoenda kwa hawa watu, unashindwa kuelewa akili zao na mawazo yao yakoje na yanawaza nini. Ni wa kuwaonea huruma tu
The Icebreaker Platinum Member Joined Apr 24, 2014 Posts 34,080 Reaction score 102,527 Jul 20, 2024 #18 Muwekezaji kwa upande wa dini.
Smith Rowe JF-Expert Member Joined Sep 18, 2018 Posts 4,512 Reaction score 9,551 Jul 20, 2024 #19 Hhahhaha analindwa na SWAT, amewatoa wapi hao SWAT
MUBENDE JF-Expert Member Joined Nov 11, 2022 Posts 1,585 Reaction score 2,729 Jul 21, 2024 #20 Bantu Lady said: Kuna watu wanaoenda kwa hawa watu, unashindwa kuelewa akili zao na mawazo yao yakoje na yanawaza nini. Ni wa kuwaonea huruma tu Click to expand... Mimi huwa nafikiri kuna kakitu wakikanyaga pale mlangoni tu ufahamu wao unatetereka sio bure kabisaa.
Bantu Lady said: Kuna watu wanaoenda kwa hawa watu, unashindwa kuelewa akili zao na mawazo yao yakoje na yanawaza nini. Ni wa kuwaonea huruma tu Click to expand... Mimi huwa nafikiri kuna kakitu wakikanyaga pale mlangoni tu ufahamu wao unatetereka sio bure kabisaa.