Neno moja kwa Mchungaji Gwajima


Bongolala,
Hii mikopo inamhusu nini Gwajima?
Kweli wewe Bongolala
 
Kweli watanzania bado naona elimu inahitajika,yaani hiyo ni mada ya kuleta jukwaani,kweli shallow minds discus people instead of ideas,mtaendelea kutawaliwa na umaskini juu.
 
Bongolala,
Hii mikopo inamhusu nini Gwajima?
Kweli wewe Bongolala

. Watanzania bongo lala .....badala ya wao kufaiti kujua tatizo liko wapi wao kazi kulalama tu!!!hacheni uvivu fatilia mjue wenzenu mwaka 2013 walifanyaje wakapata mkopo....mpigie huyu jamaa0712177649
 
Ushuhuda wa nabii ngwajima kwa watu wote,

kisha nikamuona yule mkuu wa mafisadi akiwa kakalia kiti cha enzi magogoni
nywele zake zilikua nyeupe kama theruji ,kulia na kushoto alikua alikua amezungukwa na makuhani wakubwa,
nao walikua wakimsujudia na kumsifu kuwa hakuna awezae kufanana na yeye...................
 
Tapeli toka lini akalala njaa.
Mnaibiwa huku mnapiga Haleluyah.
Majitu mazima mnadanganywa na huyu Mpitia wake za watu kuwa Anafufua watu na nyie mlivyo vichwa maji mnaingia mazima
Ngedere hata ufundishe vipi kumenya ndizi lzm ale na maganda tu.

We jamaa bwana we kila mahali unapenda kwenda nje ya topic tu, sijui bila kuonyesha uharo wako ulali usingizi au vipi?
 
We jamaa bwana we kila mahali unapenda kwenda nje ya topic tu, sijui bila kuonyesha uharo wako ulali usingizi au vipi?

Kila nikisema Ukweli Nalala isingizi mzito sana.
GWAJIMA Tapeli.
Au we hutaki nikuwekee picha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…