ligendayika
JF-Expert Member
- Aug 31, 2012
- 1,183
- 199
Mithali 17
Rather poor that walketh in his integrity than a transgresor of the lips and is a fool
Aka ni ka utaratibu ni kazuri wapendwa.In fact,binafsi nimefurahi sana mkuu,na nakupongeza kuwa na mawazo ya namna hii.Saafi saaana.
Nakushukuru angalau leo nimesoma mambo ya mungu na kujenga imani na tumaini jipya asante mungu akubariki sana
Ufisadi hapa hautakiwi, si ndiyo?
wabheja sana mwanawane.amen