Neno La Leo: Shaaban Robert Na Matokeo Mabaya Ya Kidato Cha Nne..!

maggid

JF-Expert Member
Dec 3, 2006
1,084
1,246
Ndugu zangu,

Matokeo ya Kidato cha Nne mwaka huu yamezua mjadala mkubwa. Miaka zaidi ya sitini iliyopita, mwandishi Shaaban Robert aliandika yenye kushabihiana na hali yetu ya sasa. Angalia video hii..

 
Mkuu,
Mbona matatizo yapo wazi tu,kama Uchi wa Mtoto!

Serikali tawala ya kijani kibichi wanayafahamu vyema.wanafumba macho tu (Nchi si yakwao bwana).
 
Back
Top Bottom