Neno kutongoza tunalichukulia tofauti

gm man

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2017
Posts
1,177
Reaction score
1,456
Nimekaribu kuweka uzi juu ya namna wanaume tunavyo wachukulia wanawake pale wanapo tutongoza

Ieleweke kuwa mwanaume itabaki kuwa mwanaume tuu... Hata mwanamke akutongoze vipi mkiwa chumbani mwanamke ni mwanamke tuu
Wengi wanadhani mwanamke akikutongoza basi ww mwanaume unatakiwa ku behave like a woman... Si kweli
Kazi ya kung'ata vidole ni ya mwanamke tuuu hahaaaaaa
 
Yaah mkuu, mwanamke siku zote ataendelea kuwa mwanamke na mwanaume siku zote atabaki kuwa mwanaume tu.

Kwanza wanawake hawatongizi direct Bali wanatongoza indirect wao hupindisha mada ila kama mwanaume lazima uelewe nini anataka, hali kama hiyo ikitokea kwangu sioneshi udhaifu hata kidogo nachangamkia tenda fasta.
 
You are right mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…