Vivax JF-Expert Member Joined Feb 21, 2013 Posts 522 Reaction score 186 Jul 31, 2014 #1 Neno hilo KAFIR wengi hupata homa wakiitwa kafir ! Kama mimi ni kafir kwako maana yake sikubaliani na wewe kwenye jambo fulani. Wala sio tusi. Kwa wale Wekundu wa msimbazi mimi ni kafir wao, kuhusu Y A N G A hua simbiliki
Neno hilo KAFIR wengi hupata homa wakiitwa kafir ! Kama mimi ni kafir kwako maana yake sikubaliani na wewe kwenye jambo fulani. Wala sio tusi. Kwa wale Wekundu wa msimbazi mimi ni kafir wao, kuhusu Y A N G A hua simbiliki