Nenda nje kama mbabe

Tuko pamoja chezea wewe kilichopanda ndege kuja nchini kwetu ni kigumu asikwambie mtu
 
Kwahy unamiaka mingap wewe babu
 
aendi alishamtuma yule wa bondeni akatuombee hela.. bahati mbaya huyo wa bondeni nae kina malema walishasababisha akaondoka ..yuko bize kuongeza idadi ya wanawake tu sasa.. sijui huyu aliepo sasa atakuja tena kwetu nae amuombe upya??
 
Kiomboi wapi wewe..!

Sema una hofu na kiloba chenye jiwe mtoni, huyo mbabe unayesema atakuwepo mtaani.

 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…