S simple one Senior Member Joined Feb 24, 2014 Posts 168 Reaction score 69 Nov 18, 2015 #61 kwani wewe ni nani hata usipate experience ya kuumizwa na mapenzi kidogo, kila kitu kinataka experience siku hizi, siku ukija kuingia ndoani unakuwa una uzoefu wa vingi. ndo maisha hayo, jipange anza upya
kwani wewe ni nani hata usipate experience ya kuumizwa na mapenzi kidogo, kila kitu kinataka experience siku hizi, siku ukija kuingia ndoani unakuwa una uzoefu wa vingi. ndo maisha hayo, jipange anza upya