Nenda mpenzi wangu

Mkuu ukitoka kwenye maumivu ya D wewe fumua tu tena anza na mashoga zake
 
Usiumie sana kaka ndo maisha hayo,naamin kuna ki2 umejifunza,so ww endelea na maisha yako ya kawaida utampata ambaye atakuheshimu na kukupenda milele,wanawake wakipendwaga sana wanabweteka...lazima atakukumbuka tuu
 
Yaaaa.Mkuu wewe isome namba tu.Baadae utatulia tu.
 
Diana Dorini Digna Dorothea Demetria Debora Delila Dativa Deonisia
Dorkas Dolorosa
Pole Mtu Wangu

Ahsante kwa kunipa wigo mpana wa kuchagua majina ya kumpa Ancle wangu aliezaliwa wiki 2 hizi
 
mpe shukrani kwa kuniumiza moyo wangu, mwambie mi bado mahututi nauguza kidonda changu,

Tatizo me bado nilipoteleza nikakosa sipajui, hadi akafunga virago na akaamua kuondoka sitambui

kibaya kinachoniumiza maneno, neno, maneno,
mara kwa ndugu marafiki kutwa kuwapa misemo

Siwezi kung'ang'ania huenda sio fungu langu,
Japo ni shida ila, nitabaki mwenyewe

Yani kipindi cha majonzi nyie mnapiga bongo fleva

Mbona hamna huruma hivi..Mnajua uchungu wa kuachwa kweli??
 

Pole ndg yangu,unanikumbusha kisa kilichowahi kunikuta kuna Bint niliwah kuwa nae kaka huwez amin nilijinyima kwa kipato changu kidogo ili nimlizishe mwenzangu kipind hiko akiwa anasoma chuo.Baada ya kumaliza tu alianza kubadilika na kuamua kutokupokea simu yangu na hata sms hajibu kibaya zaidi sikuwahi kumgegeda pamoja na kunilia vyote hivyo,kila nikimkumbuka naumia sana naishia kumuona fb tu.
 
Yani kipindi cha majonzi nyie mnapiga bongo fleva

Mbona hamna huruma hivi..Mnajua uchungu wa kuachwa kweli??
Kuachwa kuachwa, kuachwa ni shughuli peku,
Mbaya zaidi kwa yule uliyempenda,
Wewe unakonda, yeye ananenepa
Kwa mawazo ooh kwa mawazo.

Daddy we just tryn to cheer him up. Ingekuwa ni msichana ningejitahidi nimlize. Kulia kunasaidia sana kupunguza maumivu. Ni mapito tu haya, ipo siku atatazama nyuma na kujicheka tu. God is good
 
pole Mungu yupo atakupa wako mengine hayana budi kuja ili mazuri yatokee jipe moyo omba Mungu atarudisha furaha yako
 

Naelewa Douta..
Ila Daddy yako sijui hajui kupenda..Mana hajawahi kuteseka kwa ajili ya mapenz
 

Pole sana mkuu! Ngoja magufuli afungue hizo mahakama za mafisadi, hakika huyu binti anastahili kufikishwa kwa korti mbele ya Pilato. Haiwezekani ujinyime hivyo halafu akutose kwenye Gegedo. #Zuwa
 
jipe moyo Mungu atakupa wako shukuru kwa kila jambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…