Nemo kwa wanaume


Hahaha aisee kumbe kuna mengi.
 
Siku hizi watu wanafanya mchezo wa kulinganisha utafiti na kupiga ramli.

Unawezaje kutoa hitimisho zito bila kuwa na data za kukupa support?

Mie nilishatoa demokrasia na sasa tunakula pensheni!
 
Kwakweli hata aje nani sielewi, Mpendwa kuna wanaume wabinafsi wewe acha tu

Teha uishie hapo...! Hapo...! Aliyekwambia kuzaa ni kazi nani? Afu ujue hauzai mwenyewe mpaka upate buster..! Na kama kuna mambo mnalalamikia ni kutopata ushirikiano kipindi cha uja uzito na kulea mimba sasa mnapo jidai mnazaa kipo cha ziada mnafanya peke yenu..! Just kupushi katoto na kuchanika nanilii...
 

Haya bidada nikubali tu yaishe maana naona mwenzangu upo full mzuka!
 



Tatizo sio Mwanamke kujikwamua, tatizo lipo kwetu wanaume. Ukimpenda Mwanamke, haimaanishi ndio awe mtumwa Wako. Kumpenda ni pamoja na kumpa uhuru wa kutumipaji chake. Ni pamoja na kumpa uhuru wa kuwa na uwezo atakao kiuchumi.

Mwanaume lazima u fight kusimamia maisha yako. With or without your wife and so is her. It is only when you feel week n insecure ndio utaona Mkeo kufanikiwa kutahatarisha Maisha ya ndoa yenu.

Stand still n fight bro. Usitegemee kusaidiwa kiuchumi na Mwanamke. And if it happens then you should know well how to Play.

Maandiko yamesema "Tuishi nao kwa Akili".

So we should.
 
Nawewe kazi ya kupakia na kupakua mizigo kutoka kwenye malori pale sokoni Kariakoo na Tandale tutagawana?

Hiyo Adam alitakiwa ahoji pale kwenye bustani ya Eden kuwa "baba huyu msaidizi wangu atanisaidia na kupakua mizigo tandale"?
 
Ningewashauri tu vijana ambao bado hawana lifetime committments wasipitepite hili jukwaa.

Zimejaa frustration tu na vitisho...

kama uzi ulioletwa mimi naamini umeisha athiri mitizamo
ya baadhi ya watu flani flani kuanzia walipo usoma mpaka sasa.
 

According to maandiko, hivo ndivo mgawanyo wa majukumu plus adhabu humo humo "mwanaume atakula kwa jasho" "mwanamke atazaa kwa uchungu" tusiingiliane majukumu aisee
 
According to maandiko, hivo ndivo mgawanyo wa majukumu plus adhabu humo humo "mwanaume atakula kwa jasho" "mwanamke atazaa kwa uchungu" tusiingiliane majukumu aisee

Adam aliagizwa atakula kwa jasho siyo kumlisha eva...! Basi na eva angeuliza na mimi nitakulaje...? Maana adam hajaagizwa kumlisha eva wala uchungu wa kuzaa eva ajambiwa atasaidiwa na adam, sasa km ni issue ya adhabu kuwa kubwa eva ndiyo chanzo ya uasi why asiadhobiwe sana ili iwe fundisho kwa wanawake wengine msio wasikive kama wewe Evelyn
 
Last edited by a moderator:
Teh teh..Mpendwa ukijibiwa hivyo ujue we msumbufu sana
 

Ha ha ha nmecheka tu eti iwe fundisho kwa wanawake wasio wasikivu kama mie lol, hebu mtafute hela bwana acheni kujiliza liza
 
Last edited by a moderator:
wanawake bhana
kila siku jipya. kutafuta sio tatizo, tatizo ukipata unachotafuta full maringo,thadau majigambo.

mwanafunzi mmoja wa chuo nilimsikia anajisifu mchumba wake anapesa, lkn hapo hapo anasema anatafuta pesa yake apande ndege kwa hela yake. ubinafsi sio kitu kizuri katika maisha ya mahusiano
 
Ningewashauri tu vijana ambao bado hawana lifetime committments wasipitepite hili jukwaa.

Zimejaa frustration tu na vitisho...

Kula like kubwa iliyoshiba...kweli huku full frustration
 
Mwingine huku mke wa mtu,katoa papuchi kapanda kacheo.Tena hadi kazalishwa nje,ndo uchakalikaji huo!!!!! ajabu
 

Hi hii hiiiii........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…