Unafiki tu, kwa nini wasifunge mgodi wa north Mara? Tena kule wate wanaathirika sanaWaziri wa mazingira ameifungia hotel hiyo kwa kukiuka taratibu za mazingira kwa kutiririsha kinyesi baharini(itv habari )
kama kweli weka picha kuonyesha imefungwa
Hivi Tanzania kuna serikali inayofuatilia mambo muhimu kama hayo au majamaa wamegoma kutoa kidogo dogo!
Double Tree ndo ile ipo pale Masaki karibu na palipokuwa Slipway right?
If this is accurate, then it's a shame that such a seemingly swanky place would do this.