Mabano=mikono yaani Wana secure ulingano(haki)
Hio Ni Mikono mkuu na Mikono Ni alama ya ulinzi viganja viwili vinadhibiti usawa.vinataka kila mfanyabiashara afaidike kwenye mnyororo wa thamani wa bidhaa husika na serikali ipate chake Kama kawaidaHakuna mikono ya hivyo mlamu!
Yeah[emoji57]Aku[emoji848]
Hahahahaha nainjoyYeah[emoji57]View attachment 1626935
Ina maanisha utalipa kodi kadiri unavyopata no more no less that is tha massage behindZa mida?
Niende kwenye lengo thubuti, hivi hii nembo ya TRA huwa inamaanisha ninj yani kama kuna mizani yenye mabano
Alie ifikiria alilenga nini hasa?
Kwa wale wazee wa picha twende sawa picha iyo apo chini
View attachment 1626864
Tunajua bendera na rangi zake ni nini kinamaaisha.
Pia tunajua nembo ya taifa inamaanisha nini.
Ila nembo ya TRA wengi atujui inamaanisha nini.
Wenye kujua watujuze