Mimi ni mpenzi wa Klabu ya Simba.Kwa kuwa klabu yetu inaendeshwa kibiashara na kisasa naushauri uongozi wa klabu kurekebisha Nembo ya klabu iwe ya Kimataifa.Mapungufu ya nembo hiyo ni pamoja na kutokuwa na jina ya Dar es salaam na Tanzania.