Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,333
its a shame, great shame ...
Unafiki wanauonyesha sasa ni waajabu .Mstare wa Mbele Kwenda kumuaga .Jimmy carter ,Reagan walikuwa wapi Wakati baba wa Watu alivyokuwa anaangalia ukuta tuuu .miaka 27 Jela kwa sababu ya kutaka freedom na nchi ni Yako kwa kweli baba wa Watu Aliteseka.Nakumbuka Nyerere alivyokufa walisema socialist mara champion of equal justice Mara champion of Mao ( china late president) .Leo trip Tanzania Clinton Bush kutwa wako Tanzania (Tanzania ni nchi ya Yule waliomwita Dictator Nyerere ) Wanafiki .
jana David Cameron alikuwa anamuita mandela ni shujaa wakat 1985 alikuwa anataka Mandela anyongwe.
Hii inaonyesha vipi wazungu walivyokuwa wanafiki,wazushi,Leo hii Cameron prime minister wa Uingezera analia kwa kifo cha Mandela wakati yeye mwaka wa 1985 akiwa kama mmoja wa viongozi wa chama cha Conservative alikuwa kiongozi wa kuweka vipepereshu kuwa Mandela ni "terrorist"
kama nyerere alivyomsamehe Gadafi ndivyo mandela alitenda kama yesu pia , yaani pamoja na kubagulia na kufungwa lakini mwisho wa yote alisamehe na hii ikapelekea wazungu wampende na kumwamini sana, ni ajabu kuona wachangiaji wakianza kuonyesha chuki za wazi kwa wazungu, inaashiria hawa wako Anti-mandela bila kujijua, je ndivyo mandela aliwafundisha wafanye hivyo?????????????????????
"We are not anti-white, we are against white supremacy … we have condemned racialism no matter by whom it is professed."
Nelson Mandela, defence statement during the Treason Trial, 1961.
"I have fought against white domination, and I have fought against black domination. I have cherished the ideal of a democratic and free society in which all persons will live together in harmony with equal opportunities. It is an ideal which I hope to live for, and to see realised. But my Lord, if needs be, it is an ideal for which I am prepared to die."
Nelson Mandela, defence statement during the Rivonia Trial, 1964. Also repeated during the closing of his speech delivered in Cape Town on the day he was released from prison 27 years later, on 11 February 1990.
Tatizo ni pa kuanzia mkuu.Haikuwa lengo lake kusamehe, lakini ilikuja kama moja ya mashart ya yeye kuachiwa huru na SA kupewa uhuru wake kama nchi isiyo ya kibaguzi, thats Mandela's weakness! Kwa sasa pale SA namwamini sana kijana Malema, kusema kweli akipewa nafasi atamaliza kazi iliyomwogofya Madiba, nyang'anya mashamba hao nyang'au wasio na kwao!
Tatizo ni pa kuanzia mkuu.
Exactly, tatizo ni pa kuanzia. Kama vijana wa kipindi cha enzi apartheid imeshika hatamu SA walipata pa kuanzia, nina imani hata sasa ni rahisi zaidi kupata pa kuanzia!
Haikuwa lengo lake kusamehe, lakini ilikuja kama moja ya mashart ya yeye kuachiwa huru na SA kupewa uhuru wake kama nchi isiyo ya kibaguzi, thats Mandela's weakness! Kwa sasa pale SA namwamini sana kijana Malema, kusema kweli akipewa nafasi atamaliza kazi iliyomwogofya Madiba, nyang'anya mashamba hao nyang'au wasio na kwao!