Nelson Mandela admitted to hospital in 'serious condition'

Nelson Mandela admitted to hospital in 'serious condition'

Get well soon Rhomlala Madiba, a true African leader....
 
Huyu mzee anavyotaabika kwa kweli pole zake na hii yote kisa na makaburu kumuweka mzee jela akaambulia TB
 
wagonjwa ni wengi sana sio mpaka aombewe peka yake wewe!! alienda kweli jela lkn umeona watu weusi walivyokuwa masikini huko kwake,aombewe kama wengine tu,,ukombozi wake kwa nchi ile afadhali alichokufanya mgabe kuwafukuza wazungu ,japo watu wake wengi ni masikini lkn sio kama kuwa mtumwa kwenye nchi yako kama ilivyo huko S.A
 
Back
Top Bottom